Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jipatie Nguo nzuri kutoka Smart African Designs kwa bei poa.. Magauni/Gown : 40,000/= Shirts/ Mashati: 30,000/= na Tshirts zenye mshono wa Mckenzie: 20,000/= Dial/Whatsapp: 0786 527572 Tupo Sinza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samahani wadau kwa wale wazoefu wa cm naombeni ushauri vp kuhusu aina hii ya simu yaani LG smartphone kuanzia ubora,upatikanaji wa spear na mengineyo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima kwenu wawekezaji.Rejea kichwa hapo juu.Lipo Mkoan Iringa wilaya ya Kilolo sehemu za dabaga.Eneo hilo linafaa kwa kupanda miti ya mbao hasa PINES.Hali ya hewa na rotuba ni surpportive kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
used miezi minne tu 300000
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Jaman naomba msaada kwa mtu yeyote anaeujua ubora na udhaifu wa hiyo simu aniambie maana nataka niinunue. Na je bei zake madukan kwa kwa sasa zina range kuanzia shiling ngap za kitanzania?
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Hili swala limekuwa possible sana kwa mtu kuweka kulifanya download Ogwhatsapp then install number ya mwanzo kama una latest new WhatsApp ifute kwanza then anza kuinstall Ogwhatsapp huku uki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, nimepoteza simu mbili za ghali mfululizo kwa kupanda kwenye bodaboda na simu kudondoka njiani baada ya mifuko ya suruali kuwa mifupi, nahitaji Tablet, najua sitaweza kuiweka mfukoni hivyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari waungwana wote!Ngoja kwanza nianze kwa kutoapole na mihangaiko ya kuzungusha gurudumu la maendeleo kwa wale wanaojitumakila kukicha kwa kutafuta riziki. Sio siri ya kwamba humu ndani wengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Model: optiplex 170L Hard disk: 80Gb Ram: 512mb (DDR1, kuna slot mbili za kuweka ram unaweza kuongeza nyingine) Processor: 3Ghz (Duo 2core) Bei elfu tisini Nipo DSM Text/call 0683499369
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawezesha blog yako kuwepo playstore kwa ofa ya shilingi elfu 10.kama upo interested nichek 0716385824
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Happy new year.... Wana Jf naimani mpo Salama salimin, Natafuta Kiwanja, budget 5-8M kiwe kimepimwa, mkoaa wa Dar, (kigamboni, temeke,....)
0 Reactions
21 Replies
3K Views
120000 tu 16GB internal memory
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Samsung s5 nauza 300000 bei inapungua ntafute ni kama mpya tuu 0719474102
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau nahitaji viti vya baa vya kaunta vya kisasa kwa ajili ya ka grosary kangu nipo mpanda kwa mdau yeyote aniambie vnapatikanaje, usafiri na bei yake, vizuri zaidi kama nitapata picha na...
0 Reactions
3 Replies
46K Views
Nina elfu 80 cash hapa. Mwenye nayo kwa pesa hiyo anipatie namba yake nimpigie sasa hivi tufanye biz
0 Reactions
1 Replies
765 Views
natafuta nokia e63 used iliyo ktk hali nzuri, isiwe na dosari yoyote ile. bajeti yangu ni 40,000/= cash, ukiwa interested nicheki 0714-408238/ 0788-252045. nipo dsm.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
GPS tracker is a good tool to tracking your car or motorbike real time. With it, you don't worry about the car stolen any more. You can track your car real time place with cellphone. Just send...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Chumba cha kupanga kinahitajika....bajet ya 50 elfu per month na isiwe zaid ya kodi kwa miezi 6 kiwe maeneo ya fire/baresa kkoo.....madalali nawasikiliza kwa haraka km inawezekana...pm...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaada nauli ya ndege za fastjet toka mwanza kwenda dar ni shilingi ngapi naitaji kusafiri mwezi wa 12 mwanzoni pia ratiba ikoje?
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Nauza IPHONE 3 kwa bei poa Iko katika hali nzuri sana nicheki nikupatie fasta bei 250,000= Njo PM kama unahitaji
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…