Nambie nione kama ntajivuta vuta mkuu
Magomen mapipa vp
Nimekutajia eneo ambalo nina uzoefu nalo lakini hata hivyo sidhani kama bei za Mapipa na Kwa Azizi Ally zinaweza kutofautiana sana... zitakuwa zinalenga mle mle tu lakini cha kuzingatia ni kwamba, kwa hiyo sh.50,000 hata kwa Aziz Ally huwezi kupata nyumba classic... ni kwenye nyumba zile zile zetu tulizozoea... za ku-share kila kitu zilizojengwa miaka kadhaa iliyopita! Acha wenye nyumba Dar waringe!Magomen mapipa vp
Umepnga lini hapo? Isije ikawa ni kule ambako ikifika miezi kama hii basi ukienda mjini au kwenye mishe mishe zako unakuwa roho mkononi manake unaweza kuta siku unarudi frij linapiga mbizi!!aah wapi mbona mi nimepata hapa msasani kwa 50