Nyumba inavyumba vinne vya kulala ambapo moja ni Master Bedroom, Public toilet, Dinning room, Stoo, Jiko. Ukubwa wa kiwanja ni 30kwa25, Bei ni Milioni 40 mazungumzo yapo.
Mawasiliano 071816977...
Washikaji, nipo Arusha baada ya kusoma soma humu kwa forum nilianza ufugaji wa kuku aina ya Malawi sasa natafuta soko. wapi soko la mayai lakini pia nataka punguza jogoo ni wengi. Lakini pia bei...
Wadau inahitajika frame kwa ajili ya kufungua salon ya kisasa, Mbagala rangi3, kodi 300,000/ kwa mwezi, iwe kwenye movement kubwa ya watu na si vichochoroni.
Ni PM kama unayo.
Thanks.
habari zenu,
jamani naombeni msaada nina printer nyumbani p2054 laser jet nahitaji mahala niweke iendelee kutumika na
muhusika awe ananipa hata 5000 kwa siku kama biashara itaenda vizuri, ili...
Wadau kiwanja kinauzwa kigambon maeneo ya dege opposite na mijengo ya nssf. Ni kama miguu 45 kwa 25, kiko mazingira tambarare yaan kwa kifupi ni kizur sana kwa mwenye uhutaji. bei ni milion 6...
Ndugu wadau natafuta nyumba nzima ya kupanga maeneo ya tegeta kibaoni karibu na kituo cha daladala yanapogeuza ( sokoni)
Sifa:
1. Zikiwa apartments 2 itakua bora kwani tupo 2 tunaohitaji
2...
IMILIKI NA IFANYE KUWA YAKO KWA PESA ISIYOZIDI TZS MILIONI TANO!
-Inatembea
-Haina tatizo lolote
-Haijawahi kupata ajali
-Mmiliki mmoja
Mawasiliano: ONLY Serious Buyer
E-mail...
Natafuta duka kubwa la madawa ya binadam ambalo linauza bidhaa(madawa kutoka nje)...kwa hapa bongo..iwe dar es salaam,MORO au DODOMA..Kwa sababu kuna dawa huwa cpat ktk aya maduka yetu ya kawaida...
Generator:
-Diesel Engine
-10 KW (12.5 KVA)
-Works in both single phase and three phase
-Silenced
-Approximate weight is 180 kg
-Selling Price is TZS 15 mln (negotiable)
-Brand new from Italy...
Pamoja na magauni ya kudarizi bazee vitenge na mashati ya kiutamaduni kwa bei nafuu sana, ukitaka mzigo kwa jumla,
0714812375.
Unaletewa free popote ulipo Tanzania.
Kwa wale wakazi na wazoefu wa Iringa mjini. Natafuta chumba kikubwa self au chumba na sebule mwenye nacho tuwasiliane,muhimu sana.
0717947500.
0774302940.
Asanteni sana.
Nunua bidhaa hizi kutoka moja kwa moja kwenye kampuni kwa ajili ya matumizi binafsi au kwa ajili ya biashara na ulipwe kila mwezi kulingana na manunuzi yako, bidhaa hizo ni lotion, powder,perfume...
Gari tajwa hapo juu iko sokoni
ni ya mwaka 2002
ingine 2000cc
imetembea km 110000
namba ni a.
Ika katika hari nzuri sana haina tatizo lolote naiza ili nibadili gari,
bei ni million...