Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Zipo mbili kubwa na ndogo bei maelewano kwa anaezitaka anicheki 0655 44 44 40(hazina tatizo ni used from UK)
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiwanja Kina ukubwa wa sqrMeter 400 (20×20), kipo karibu na barabara na huduma za jamii. Kiwanja ni Tambalale hakipo Mbondeni. Bei Milioni 8. 0683499369
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye nayo anipm tufanye deal
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninauza mafuta ya queen elisabeth cocoa butter cream kwa bei ya 20,000 kwa jumla na 25,000 rejareja Ni original na yana guarantee anayehiyaji anitumie msg.. Tuna Kopo kama 4000... Karibuni Sana
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Gari tajwa hapo juu iko sokoni ni ya mwaka 2002 ingine 2000cc imetembea km 110000 namba ni a. Ika katika hari nzuri sana haina tatizo lolote naiza ili nibadili gari, bei ni million 7,mazungumzo...
2 Reactions
0 Replies
965 Views
habar wana jf nauza simu aina ya huawei y300 ipo kwenye halinzur bei ni laki moja na kumi! simu ina support line zote, kwamaelezo zaidi na picha nichek kwenye no.0713943432 npo npo dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Jipatie orijino memory card za kuanzia 4gb, kwa bei nafuu kabisa ya 4gb =12000, 8gb = 18000, etc. Tupo dsm, Mawasiliano 0656318577.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Valentine's Day Offer Compaq Presario CQ56 2Gb RAM 220HDD 2.3ghz processor webcam,bluetooth,dvd writer ,etc It looks like almost new but battery runs for 20minutes Works perfectly...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Yeyote mwenyekusumbuliwa na magonjwa ya tumbo tiba kabambe inapatikana hii c longolongo tuwasiliane utajionea mwenyewe ,hii sio dawa ya matangazo ya biashara kwenye tv au radio na media zinginezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Acer travel mate ni 64bytes os,ram 4gb,processor 2.53ghz (core i3), 320gb hdd,up to 5hrs battery life ina webcam, bluetooth, ipo kwenye very good condition bei ni 480,000 nipo Dar nicheki 0688206680
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Toleo jipya la simu za smart phones aina ya VIWA zinauzwa rasmi sasa Tanzania kwa pei poa kabisa.. Key features Memory 4gb Warranty 1yr plus betri Os, Android4.2. Pics 8.0 NB: Wahi mapema kabla...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Ipo katika hali nzuri kbsaa bei 170k.0659626782
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Habari zenu wakuu...nahitaji flat screen tv kuanzia inch 21 mpk 30...hata kama iwe used tafadhal
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Habari wadau, Nahitaji kununua Toyota corrola namba C au D. Iwe katika hali nzuri. naomba msaada wako wapi naweza kupata gari hilo au kama unauza ni-PM asante kwa msaada wako
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani nauzu kiwanja kipo mkoa tanga Tsh.6milioni ukubwa ni21mita kwa 30mita simu no.0784 766837,0757 860578,0717 229111
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza urwmbo wa asili ,Ni mzur sana, kuna heren ,bangili, cheni na mikanda , tunauza jumla na rejareja na jumla, kwa mawasiliano zaid piga simu 0713520689
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wateja walio serious buyer kuna Laptop mpya kutoka China ipo sokoni.Sifa/specification zake ni kama ifuatavyo. LAPTOPT SPECIFICATIONS: 1.Brand Name: Toshiba Portege. 2.Conditions: Brand New...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu zote tajwa ni mpya kabisa zikiwa na mabox yake na vifaa vyake vyote. s3 bei 350,000 s4 bei 450,000 Mawasiliano: 0763969066
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kituo kipya cha utangazaji cha Television na Redio cha"SWEET" kilichopo jijini Dr es salaam, kinawatangazia rasmi kuanza kwa Arusha matangazo yake ambayo kwa sasa yanasikika mikoa mingi. Karibuni...
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Back
Top Bottom