Nauza Mitsubishi RVR kama ilivyo

Nauza Mitsubishi RVR kama ilivyo

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Nauza RVR haitembei, anayehitaji ani PM, bei maelewano. Body na ndani ina hali nzuri sana.
 
...tupia picha,kama ilivyo maanayake kama unavyoiona. weka bei achana na minada jukwaani...
 
Ebu elezea kwa undani, ina tatizo gani? injini nzima au mnunuzi apachike nyingine?. Au weka namba ya simu watu wakutafute
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom