Natafuta nyumba ya kupanga Tegeta

Natafuta nyumba ya kupanga Tegeta

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
276
Ndugu wadau natafuta nyumba nzima ya kupanga maeneo ya tegeta kibaoni karibu na kituo cha daladala yanapogeuza ( sokoni)
Sifa:
1. Zikiwa apartments 2 itakua bora kwani tupo 2 tunaohitaji
2. Ziwe ndani ya fens
3. Kodi miezi 6
BAJETI YANGU Laki 2 mpaka laki 3 kwa nyumba.
Natanguliza shukrani
 
Basi kama eneo hilo kuna uzito naondoa hyo sifa ili mradi iwe tegeta tu sehemu yoyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom