Wadau nimelikuta hili tangazo huko mitandaoni. Jamaa yuko fasta sana. Anapima eneo lako iwe kiwanja au Shamba na anakusaidia kupata hatimiliki ya eneo lako. Binafsi nimefaidika na Huduma zake...
Komputa inauzwa iko Arusha bei ni shilingi 300,000/-
specification zake
window xp professional
Intel (R) Pentium (R) Dual CPU E2140@1.60 GHz 448 of RAM.
Habari za leo kwenu wote...kuna kikundi cha vijana wa bodaboda kipo dodoma mji mdogo wa kibaigwa. Kimesajiliwa na kinatafuta bank, saccoss au microfinanace institution yeyote inayoweza kukopesha...
ninauza simu tajwa kwa gharama nafuu kabisa.Simu ni nzima na haina tatizo lolote.Bei 100k lakini maelewano yapo. Tuwasiliane kwa 0763969066 ukitaka picha ama kwa maelezo zaidi
It is nice Yard of about 21/4 acres or 8782 square meters. Located in a quiet location fully of security. Asking price Tshs 1.4 bilion. Contact 0784225000
Wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa M-pesa kwa bei ya tshs.150,000/=,maelewano yapo.Naiuza kwa maana nataka kubadilisha biashara.Niko Dar es salaam.Kwa anayehitaji nitafute 0673404808
jenereta aina ya olympian na perkins zilizokuwa zinatumika kwenye project iliyokwisha zinauzwa kama ifuatavyo
1.olympian kva 250 masaa 3169 bei 60m
2.olympian kva 200 masaa 3423 bei 55mil...
Hello wadau poleni na mihangaiko ya siku. Tafadhali kama upo Shinyanga Mjini naomba unisaidie jinsi ya kupata chumba cha kupangisha au kama kuna mwenye namba ya dalali anisaidie pia kama unaweza...
Nauza inveta ya W 1000 ni nzuri na ni ya uhakika umeme ukikatika bei ni nafuu Sana ni laki 300,000 Nina shida ndo mana nauza, maelezo zaidi nichek Kwa 0713415537
Karibuni wadau nauza viaz mviringo aina ya SP bei pia ni nzuri....
Napatkana mafinga,iringa. Kwa mawasiliano zaidi 0768181757
e-mail; luwumba2013@gmail.com
Karibuni sana......
Samsung Galaxy Trend detailed specifications
General
Alternate names GT-S7392
Release date September 2013
Form factor Touchscreen
Dimensions (mm) 121.50 x 63.10 x 10.85
Weight (g)...
Smartphone ya nguvu kwa bei ya mtanzania Wa nguvu kwa bei ya ukweli 135000 tu
Sim hii ina uwezo wa kuchukua app zifuatazo
-whats app
-instagram
-Twitter
-Facebook
-viber
-immo
-tango...