BEACH PLOT 2 is situated at Mjimwema, along the South Coast of Dar es Salaam, 8 km from the Kigamboni East Ferry Terminal. 100 meter from the main road. plot ipo barabarani eneo ni...
Its in a very good condition. Price 4.8 mil.
Haijawahi kutoka nje ya DSM.
Milango mitano. Mwaka 1999. 14800km.
Only serious buyers pm for more information and photos. Nimeshindwa kuapload picha humu.
Helo wanajamvi,
Vitz inauzwa ipo hali nzuri.
Bei ni 4.2m
Ac ipo poa.
Reg. namba B,
Gari ipo kule moshi
pm if u nid it and if you a serious!
for further information
Vyumba vinapangihwa, nyumba na kiwanja vinauzwa. Kama wewe ni mtu unayehitaji vyumba vya kupanga au mnunuzi tuwasiliane. Vyumba, nyumba, kiwanja, bei zake na mahali zilipo ni kama ifuatavyo...
Ninauza viwanja vya kwangu mwenyewe Lingato SQM 1225 (Mita 35 x Mita 35) kwa shilingi milioni 3.0. Eneo bomba halina tabu na muuzaji na dalali ni mimi mwenyewe mmiliki.
Interested, call: 0714 620...
Wakuu mimi nahitaji kununua king'amuzi cha continental kutoka kampuni ya sahara media lakini sijui nitakipata wapi kwa hapa mwanza naomba mnielekeze kinakopatikana wakuu.
Ahsanteni
Tractor zenye ubora aina ya Swaraj na Same yaliyopitishwa na kampuni ya kimataifa ya ubora (ISO) na kupitishwa na wizara ya kilimo yanapatikana kwa bei nafuu, watanzania tuchangamkie fursa hii kwa...
Habari,
Samahani kwa ambaye anafahamu mahala ambapo wanauza mabelo ya shuka za mtumba za ukweli grade A,Tafadhari anijulishe yawe ni mashuka mazuri na makubwa.Napatikana Morogoro ila nipo tayari...
Nguruwe wa mbegu kwajili ya uzalishaji wanauzwa wapo wawili name hali zao safi , wana rangi nyeusi.
kwa mawasiliano 0653634503 au 0764363056
wanapatikana dar tegeta.
Wadau,
Najua wapo watu wanaojihusisha na utengenezaji vidonge vya miti shamba(herbs) ama kuuza kwa matumizi ya kawaida kwa tiba ya magonjwa mbalimbali. Ni shughuli yangu kubwa kwa maandalizi ya...
Wadau nimelikuta hili tangazo huko mitandaoni. Jamaa yuko fasta sana. Anapima eneo lako iwe kiwanja au Shamba na anakusaidia kupata hatimiliki ya eneo lako. Binafsi nimefaidika na Huduma zake...
Komputa inauzwa iko Arusha bei ni shilingi 300,000/-
specification zake
window xp professional
Intel (R) Pentium (R) Dual CPU E2140@1.60 GHz 448 of RAM.
Habari za leo kwenu wote...kuna kikundi cha vijana wa bodaboda kipo dodoma mji mdogo wa kibaigwa. Kimesajiliwa na kinatafuta bank, saccoss au microfinanace institution yeyote inayoweza kukopesha...
ninauza simu tajwa kwa gharama nafuu kabisa.Simu ni nzima na haina tatizo lolote.Bei 100k lakini maelewano yapo. Tuwasiliane kwa 0763969066 ukitaka picha ama kwa maelezo zaidi
It is nice Yard of about 21/4 acres or 8782 square meters. Located in a quiet location fully of security. Asking price Tshs 1.4 bilion. Contact 0784225000
Wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa M-pesa kwa bei ya tshs.150,000/=,maelewano yapo.Naiuza kwa maana nataka kubadilisha biashara.Niko Dar es salaam.Kwa anayehitaji nitafute 0673404808