Habari wakuu...mm kwa sasa natumia samsung galaxy s5 (genuine) sm-g900f
Nilikuwa nahitaji samsung note 4 mpyaa au hata second hand ila iwe kwenye condition nzuri.
#nitakupa s5 yangu je...
Samsung Galaxy Trend detailed specifications
General
Alternate names GT-S7392
Release date September 2013
Form factor Touchscreen
Dimensions (mm) 121.50 x 63.10 x 10.85
Weight (g) 126.00...
Wandugu, nahitaji kununua Wireless routers zenye LAN ports ikiwezekana 4 na pia ziwe zinatumua USB 3G Modem kupata internet. Naomba ziwe mpya pia unitajie na bei.
Ahsante sana.
Dear Jf members, I've some precious stones like dark opal, fluorescent opal, and fire opal for sale. Any interested individual or company may contact me through 5hdf.tz@gmail.com
Thanks!
Kiwanja chenye ukubwa wa Square metre 2350 kinauzwa. Kiwanja kipo kigamboni kimbiji karibu na Dege appartments, ni tambalale hakina miinuko wala mabonde. Miundo mbinu ya barabara na umeme tayari...
Tunauza trekta limeagizwa toka uingereza ni massey ferguson 165 .ilikuwa inatumika kule ila imekuwa refurbushed kule kule.... ina jembe jipya kabisa. Njoo pm kwa maelezo zaidi na pictures ...
Ni ya mwaka 2011 na imetembea Km 32000 tu picha chini hapo na bei ni dolla 70000 maongezi yapo kidogo kwa mawasiliano tumia hii no 0768359292 gari ipo Dar es salaam.
nyumba ya kupangisha morogoro ina vyumba 3 kimoja wapo ni master., kuna sitting room na dining room na parking space.. Kipo maeneo ya modeko kwa maelezo zaidi
0719004668