Wadau kama kuna mtu yeyote ambaye ana ofisi maeneo ya Mbagala rangi tatu au Kariakoo Aggrey. Awe ni wa hardware namaanisha mimi nahitaji kuwa kitengo cha software (flashing, unlock).
Nipo na...
habari wadau..
single masterbedroom kinapangishwa ubungo external near mabibo hostel.
chumba hicho kipo nyuma ya epza. kipo ndani ya fence na kuna gate
pia kuna umeme na maji dawasco...
Model: Toyota Raum
Man year: 2004
cc: 1490
odometer: 82,000
Mimi sio dalali gari ni ya ndugu yangu wa karibu sana na iko katika hali nzuri sana.. ukihitaji mchek 0713082305 pia maelewano yapo
Habari wadau.....
Nauza shamba hekari Moja na nusu lina miti ya paini iliyo na miaka mitatu bei ni Tsh=1000,000 tu....
Kwa mawasiliano
0768181757 au utaliijackson@yahoo.com...
Kiwanya kinauza kigamboni gezaulole, kimepimwa na kina hati. Ni kwa matumizi ya jamii (public use) hivyo unaweza jenga shule, au ukimbi, au biashara yeyote. Ukubwa ni sqm 1240.
Bei mil 40
Wewe ni mjasiriamali wa kutengeneza tovuti au blog? Umepanga kutengeneza kwa bei nafuu? Usijali, tunatoa vifurushi kwa ajili yenu kuanzia Tsh. 40000 kwa mwaka.
Are you a Student or Web | Blog...
CLONE SAMSUNG GALAXY GRAND DUOS
its in great condition barely used
Ipo katika hali nzur kabisa haina tatizo lolote
High Perfomance And functionality
Double line(inatumia line mbili)
5mp...
a new (bought 4 days ago) Tablet "Discovery by Target" is on sale. 180,000 Tshs only. Just PM your number for whatsup pics & negotiation.
Spec:
Brand: Target
Color: Silver
Operating System...
Habar wana jamvi...?
Nauza simu tajwa hapo juu bei cheee kabisa..
Ni used kwa miezi kadhaa bt stil in gud condition.....
Bei » laki moja na kumi tu!
SIFA ZA SIMU
========
Internal...
Kina ukubwa wa sqm 3800, kipo tambalale kinafaa kwa shughuri kama makazi' ufugaji au yard! Kipo umbali wa 1.4km kutoka barabara kuu inayoenda geza. Upimaji wa awali umefanyika unaonesha ni eneo la...
Kiwanja kipo eneo la Cheka ni mwendo wa 25km toka Feri ya Magogoni. Kipo karibu na barabara kuu iendayo Kimbiji. Pia kipo maeneo jirani na hatel ya Changani beach. bei ni Tsh. 12m. kwa mahitaji...
Kwa wale wadau wanaopenda noah na waliokuwa wakiniuliza Noah unaleta lini Basi hiyo hapo ishaingia Dar kutokea Japan.
Nauza Toyota Noah 2001
Color: Nyeupe
KM: 103014
Location: Tabata Segerea Dar...
Anaehitaji smartphone tajwa hapo juu naiuza kwa bei ya 150000 tu haina tatizo lolote sababu ya kuuza ninamsomesha mdogo wangu wa primary sasa nahitaji niiuze ili iweze kumsaidia na ipo katika...
Habari wana jf.
Nawatangazia uuzwaji wa viwanja vilivyopimwa kwa ajili ya makazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga kijiji cha Tengelea. Kijiji cha Tengelea kiko umbali wa kilomita 11 kutoka...