Mtungi mdogo wa gesi na jiko lake (auto)

Mtungi mdogo wa gesi na jiko lake (auto)

Damidizzo

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
400
Reaction score
174
Nahitaji mali tajwa hapo juu wadau brand yoyote ila sio Manji kwa sababu huku niliko bado hawajawa widely available nipo Morogoro
Ahsante!.
 
Mitumba as usual.Kwanini usiingie shop uchukue oryx small gas cylinder na jiko lake kwa 90,000/=
 
ndo kamba yangu ilipoishia mkuu.
kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake alafu sina matumizi nalo ya muda mrefu thus y.
 
Back
Top Bottom