Nauza Sofa set za reather (Brown) ziko katika hali nzuri sana (Excellent condition). Makochi madogo mawili (2) na kubwa la watatu (1). Bei ni laki tano (500,000). Picha zinagoma kudownload...
Nyumba mpya inapangishwa, ina vyumba vitatu, parking kubwa na uzio.
Nyumba ni self contained( chumba kimoja ni master) , jiko, stoo, sebule, choo na bafu vya kujitegemea. Nyumba ipo kwenye...
Kwa anayehitaji Til ya uwakala ya M-pesa tafadhali. Naiuza kwa kuwa nahitaji kuzipunguza nibaki na chache kwa ufanisi zaidi.
Kwa anayehitaji anipm kwa mawasiliano zaidi, niko Arusha hapa.
Luxury modern apartment to let in Masaki situated in prime area close to shopping malls eg. Seacliff and Shoppers Plaza. The apartment have a large lounge, modern fitted kitchen and 3 bedrooms...
Wanajamii,
Nauza Iphone 6, nimepata dharura hivyo nnahitaji hela (Nimeinunua ila nimepata dharura, I need Money). Bei ya kuuza 1.6milion, Niko Dar.
Kwa mawasiliano piga 0717633724.. Tafadhali...
Habari za majukumu waungwana,
Nimekuwa nikitafuta hii bidhaa kwa muda mrefu ila sijawahi kukutana nayo. Katika pita pita zangu na hii picha mi niliipata baada ya kugoogle bidhaa yenyewe ni meza...
Nauza shamba lipo kimbimji maeneo ya kijaka.kama km 3 hvi kutoka kwenye kiwanda kipya cha cement,shamba linaukubwa wa ekari 32,linafaha kwa kuweka bwawa la kufugia samaki,kilimo,ama unaweza pia...
habari.
Nauza jiko ambalo nilikua nalitumia mimi mwenyewe la umeme.
- Germany made, brand ya Ignis
- Lina sehemu nne za kupikia (4 plates)
- Linafanya kazi vizuri na halina shida yoyote
-...
habari.
Nauza jiko ambalo nilikua nalitumia mimi mwenyewe la umeme.
- Germany made, brand ya Ignis
- Lina sehemu nne za kupikia (4 plates)
- Linafanya kazi vizuri na halina shida yoyote
-...
wakuu,
Inahitajika nyumba, vyumba viwili vya kulala (kimoja master), sebule na jiko pamoja na parking.
Pia kinahitajika chumba self contained.
Eneo ni Changanyikeni, nyuma ya chuo kikuu...
An industrial plot with 36405 Sqm located in Tanita Kibaha, Costal region facing Morogoro road. The plot is fully surrounded with a cement wall and a Dawasco connection. The plot is for sell by...
Inauzwa: imetembea km 174,612.,1290cc,rangi nyeusi,tairi zote mpya,valid motor vehicle na Bima,automatic,usajiri Wa B,gari ipo ktk hali nzuri,haijawahi pata ajali,pm kwa maongezi,gari ipo...
ninauza suzuki escudo black ya milango mitano. Gari bado iko kwenye hali nzur kabisa na haina historia yoyote ya ajali. Matairi bado ni mapya kabisa na ina vibali vyote.Wala engine haijawahi...
Wakuu hembu mnijuze maeneo bora kujenga kwa plan hii ya nyumba
Ngorofa ya vyumba vinne with Home Office
-Swimming pool
-Tennis Court/ambayo itakuwa converted to Basket ball
-Volleyball...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, tunatoa huduma ya kufunga Vehicle GPS Tracker kwa bei poa sana ambapo kupitia simu yako ya mkononi au Laptop yako unaweza kupata taarifa za gari yako popote...