Sangoma
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 344
- 165
Habari za majukumu waungwana,
Nimekuwa nikitafuta hii bidhaa kwa muda mrefu ila sijawahi kukutana nayo. Katika pita pita zangu na hii picha mi niliipata baada ya kugoogle bidhaa yenyewe ni meza ya office.
Nimekuwa nikivutiwa nazo sana. Yoyote mwenye kujua ni wapi naweza kupata moja kati ya izo mbili anipe maelekezo. Kama kuna mwenye namba za wauzaji hapa hapa Tz au mwenye kujua bei tupeane taarifa.
Yangu ni hayo tu, nangoja ushirikiano wenu..