Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Nauza shamba lipo kimbimji maeneo ya kijaka.kama km 3 hvi kutoka kwenye kiwanda kipya cha cement,shamba linaukubwa wa ekari 32,linafaha kwa kuweka bwawa la kufugia samaki,kilimo,ama unaweza pia kupima viwanja na kuuza.shamba limepakana na eneo la UN,eneo la kiwanda tarajiwa cha pikipiki cha wachina na jwtz,katika master plan ni eneo la makazi,majiran zangu wote walishapimiwa isipokuwa mimi tu,hvo kufanya kazi ya upimaji kuwa nyepesi.
Karibuni sana ekari moja nafanya million saba ila. bei ni negotiable.0769468965.
Karibuni sana ekari moja nafanya million saba ila. bei ni negotiable.0769468965.