Gari aina ya suzuki maruti omni inauzwa bei 5ml ni nzima kabisa inafaa kwa kubebea mizigo midogomidogo au abiria ina seat nyuma mawasiliano 0657 23 60 94
Watu binafsi na maofisi hasa kwenye mikoa ya jua kali kama Dar,Morogoro na Dodoma hii ni nafasi ya kuyalinda magari yenu mnayoyapenda kwa bei nafuu kabisa.Unaweza ni PM,email at...
Pikipiki iliyotumika inahitajika haraka. Vigezo vifuatavyo vizingatiwe:-
1: Iwe imetumika si zaidi ya mwaka mmoja.
2: Isiwe ya wizi.Iwe ni mali halali ya mtu.
3: Iwe na nyaraka zote...
Nahitaji chumba cha kupanga Jijini Dar es salaam, kwa miezi mitatu tu, maana baada ya kipindi hicho nahamia mkoa mwingine. Aliye na chumba please tuwasiliane au ani-pm. Anieleze kiko sehemu gani...
Amani kwenu wana Jamii forum. Natafuta printer nzuri inayoweza kuprint karatasi za A3 na ya bei nafuu na wino uwe wa nje. Mwenye kufahamu mahali naweza kupata tafadhali. Nipo Arusha.
CAR FOR SALE FOR TSHS.11.5 MILLION
SUBARU IMPREZA MODEL JF1GDAKD. YEAR OF MANUFACTURE 2002
INGINE CAPACITY 1994, FUEL USED PETROL. Number of AXLES 2
CALL/TEXT 0784710555. LOCATION DAR ES...
INVENTORY MANAGEMENT SYSTEM is a desktop software which can be used to control inventory of your business; Manage your transactions easily, Sales Report, Stock Management, Client and supplier...
Nahitaji Toyota Starlet milango mitano,iwe katika hali nzuri,bajeti yangu milioni nne (4mln)
Mwenye nayo anicheki WhatsApp kwanamba 0757888666 nipo Dar-es-salaam.