Habari!!!??
Nyumba ina vyumba 4 kimoja ni master. Ina vyoo viwili. Pia ina Study Room ambayo haijakarabatiwa kwa ndani. Vile vile kuna stoo moja.
Kuna Sitting Room, Dining na Jiko pia.
Kuna kisima vile vile, pia na Garage ambayo unaweza ukapark gari moja kama picha inavyoeleza hapo juu.
Nyumba ipo Kigamboni, hatua chache kutoka ilipo ferry.
Bei ni 190,000,000. Unaweza ukaweka namba yako nikakutafuta kama umeipenda.
Ahsante!!!