Nyumba angalau iwe chumba na sebule, jiko na choo cha kujitegemea, maji na luku ikijitegemea itakua njema zaidi, maeneo ya Magomeni, Sinza, Mwenge au Kimara mwisho, Baruti tokea Ubungo, sina mda...
Kwa wale mnaoishi Shinyanga Mjini, nauza kwa bei ya kutupa Kiwanja ( high density) kwa 1.7 million, kimepimwa tayari, maji umeme vipo, kipo eneo la Bushushu.
Anayeitaji tu wasiliane kwa PM.
Habari,
Nauza Suzuki carry bei 6.0M.
Ipo kwenye condition nzuri.
Ina Bima inayoisha Agust,2015 na kibali icha TRA kinachoisha July,2015.
Kama unahitaji please PM.
Kama ww ni mwalimu mpya umepangiwa wilaya ya Kibondo. Kuna nyumba inapangishwa kibindo mjini karibu na stendi mpya. Nyumba ni mpya ina maji na umeme na haina mpangaji. Nyumba ina jumla ya vyumba 4...
Habari zenu wana jf. Natafuta frame ya zaidi ya dimensions za 20x11 maeneo ya ubungo. Lengo ni kufungua mgahawa wa kuuza chakula na frame iwe kubwa kiasi cha kupata mahali pa kubwa pa kupikia na...
Eneo linauzwa CHANIKA.Lina vipande nane vya ukubwa wa 20*20.Kipande kimoja kinauza shilingi Milioni Tatu na Laki Mbili tu.Maelewano yapo.Ni kuzuri.Barabara,maji na umeme vipo karibu.Makazi...
Kodak ESP.3
Ni used, imeisha wino na ina-paper jam problem.
Inafaa kwa kutengenezwa na kununulia Cartridge zake/ku-refill wino au kutumika kama spea kwa wahitaji.
Inakuja na Cartrage zake...
Vifaa kwa ajili ya kutoa huduma ya Secretarial Vinauzwa Used.
Mdau mwana JF; vifaa kwa ajili ya kuendesha biashara ya Secretarial vinauzwa kwa bei nzuri sana. Hii ndiyo list ya vifaa hivyo:-...
Tunatoa mafunzo ya computer Kama ACCOUNTING (sage,Tally,quickbook)NETWORKING, WEB DESIGNING ,GRAPHIC DESIGNING ,VIDEO EDITING kwa bei poa tunapatikana Karibu na Temeke Hospital .karibu
Kiwanja kilichopimwa na title deed yake chenye zaidi ya eka mbili kinauzwa. Plot ipo Iwambi, Mbeya. Eneo linafaa kwa godwn, apartment, hostel nk.
kwa mawasiliano piga no 0754895153