mreno meela
Member
- Feb 10, 2015
- 37
- 5
wakuu kwemaaa nipo moshi nahitaji gari ndogo yakutembelea nikifanikiwa kupata gari aina ya ALLEX ama CARINA TI nitafurai zaidi asanteni 0767353440
sidhani kama ukitembea unahitaji tena gari, maana kutembea tunatumia miguu
Utakuwa ushapigwa stroke
Inawezekana au isiwezekane, ikawa ni mtazamo wako tu, maana sidhani kama ni kiswahili sahihi kusema gari la kutembelea, maana binadamu tunatumia miguu kutembea, kwahiyo miguu hutumika kutembelea, ingekua sahihi kama angalisema, nahitaji kupata chombo binafsi cha usafiri, au gari kwaajili ya usafiri binafsi.