PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Kodak ESP.3
Ni used, imeisha wino na ina-paper jam problem.
Inafaa kwa kutengenezwa na kununulia Cartridge zake/ku-refill wino au kutumika kama spea kwa wahitaji.
Inakuja na Cartrage zake zilizokwisha pamoja na Adopter yake.
Printer hii inafanya kazi ya kusafisha picha, ku-print document, ku-scan na kutoa copy.
BEI ni Tsh 65,000/=
Simu/WhatsApp: 0757460737