Habari wakubwa,
Natoa huduma ya ku-unlock blackberry, LG, Samsung and HTC.
PM me or send mail at baraka607@gmail.com
Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
Gari zote zina vibali hadi May 2015, Zinatembea.
Land Cruiser: 2HT, 4WD, 3890cc diesel, inafaa kwa safari za porini.
Suzuki Carry:660 cc
BEI HAIPUNGUI. kwa mwenye kuhitaji piga 0684 559...
Habari wadau, nauza pikpik aina ya boxer imetumika mwezi na wiki kadhaa, imetumika kwa matumizi ya kawaida haina tatizo lolote na ina vibali vyote, risiti na insurance!!
bai 1.8M naelewana yapo...
Salamu zenu Wote,
Nauza mafuta ya Alizeti Halisi bei ni kama ifutavyo:-
Galoni 4 za lita 5(katoni) bei ni Tsh 60,000/-
Galoni 6 za lita 3(katoni) bei ni Tsh 60,000/-
Ndoo moja ya lita 10 bei...
Habari wakuu. Nauza hiyo laptop kama ilivyoandikwa hapo. Unaweza angalia specifications zake mtandaoni kwa kuandika hiyo model hapo. Lakini kwa haraka haraka ina sifa hizi 4 GB RAM, internal...
Suzuki carry inauzwa imetumika wiki 3tu.
Ya mwaka 1998.mi ndo mmiliki nauza sababu nimeshindwa kabisa kutumia manual .ilikua inatumika kwa kazi za nyumbani tu
Habari wakuu,
Hii gari ni nzuri sana na imeingia leo Dar es Salaam kutoka Japan...anayeihitaji apige simu 0757-429923 mara moja tumpatie..Ina nguvu kama Ford Ranger..na ni four wheel drive kwa...
Salaam wadau...natafuta kijani wa kusaidia kufanya kazi za shamba la mifugo...Awe kijani mwenye tabia njema na nguvu na pia mwenye kujua 2 3 juu ya ufugaji.Shamba lipo Morogoro...kwa maelezo...
habari wana JF, mimi ni mwajiriwa katika airline moja hapa tz, naomba msaada wa kuzifahamu kampuni zitakazo weza kunipatia gari wabaki na original card ya gari then tuingie mkataba wa kuwalipa...
Wakuu.
Nina kiwanja nakiuza,kina ukubwa wa 40/40,kina sehemu nzuri na isiyo jaa maji wakati wote.Kipo meter moja toka ilipo nguzo ya umeme na hivyo kua rahisi mtu kujenga na kuweka umeme bila...
Tangazo la uagizaji wa magari makubwa na madogo mitambo na vifaa mbalimbali kama mashine za ujenzi wa barabara kwa kutumia garama zetu utalipa baada ya kupokea mzigo wako. Kwamaelezo zaidi piga...
Mwishoni mwa mwaka 2014, ziliwahi kuletwa bashasha tele humu. Mijadala hai kutoka kwa Mwanahabari Luqman Maloto kuhusiana na viongozi wakuu wa kisiasa nchini, hususan wale waliojitokeza hadharani...