Nauza ipod touch 2nd Generations 32gb Tshs 200,000=
Mwisho laki na tisini,dukani ni dola 500
Acha uongo ...hiyo hata elfu 50 haupaswi kuuza...4th generation yenyewe inauzwa dola 270.. Itakuwa hiyo old fashioned ipod...kauze babati labda utapata mteja