Nauza samsung notebook NP350U2A kwa laki 350

Nauza samsung notebook NP350U2A kwa laki 350

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
5,813
Reaction score
11,501
Habari wakuu. Nauza hiyo laptop kama ilivyoandikwa hapo. Unaweza angalia specifications zake mtandaoni kwa kuandika hiyo model hapo. Lakini kwa haraka haraka ina sifa hizi 4 GB RAM, internal storage 300 GB, processor Intel (R) core i3 1.40 ghz 1.40 ghz, na webcam. Nipo mkoa. Mawasiliano 0782 127146. Kwa wa Dar arrangements zinaweza kufnayika bila tabu. Sina whatsapp wakuu. Ila mashine ni safi kabisa haina shida yoyote. Na pia natoa zawadi ya modem ambayo ni universal along the PC.

Karibuni!
 
Back
Top Bottom