Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wale mnaobanwa na majukumu mnashindwa pata mda wa kufua, machine hii Inafua Inasuuza Inakamua we ni kutoa na kuanika price-360k 0697224996
0 Reactions
0 Replies
343 Views
SOLD...! KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KIVULE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI KEREZANGE SIZE : 40 METERS X 40M SOLD SOLD OUT.... 🙏
3 Reactions
7 Replies
737 Views
  • Closed
SOLD OUT....! KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KIVULE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI KEREZANGE SIZE : 40 METERS X 40 METERS PRICE : 25 MILLIONS CONTACT : 0712 36 33 58. ALL SERVICES AVAILABLE HAKUNA...
2 Reactions
9 Replies
974 Views
Ongezeka Trading Co limited Tunakuletea Howo tipper lenye hp 380 kwa Tzsh mil 130 pamoja na ushuru, Kwa wale wanaohitaji kulipia kwa njia ya installments maelewano yapo. Pia unaweza kuagiza...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Kabati za nguo milango miwili zipo Bei 270000 tu. Ofisi ipo Goba ila popote inakufikia 0623265088.
1 Reactions
4 Replies
585 Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
8 Reactions
134 Replies
4K Views
Habari wadau. Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola. Bajeti yangu ni milioni 5. Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru. Kama...
3 Reactions
4 Replies
697 Views
Zipo PC 10 tu nazitoa kwa bei ya ofa ya 385,000/= haina punguzo Dell 3189 Touch screen✅ Intel cerelon SSD 128GB RAM 4GB CONTACT :0697224996
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Maisha ni nyumba guys, na kabla ujenge lazima uwe na kiwanja. Hata usipoishi huko we jenga pangisha na uwe urithi kwa watoto baadaye. Ft. 60x50, kipo mbande, mwenyewe anashida anamgonjwa so...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari zenu!! Nauza gari yangu sio dalali gari ipo vizuri sana... Nipo DSM Bei ni milioni 9 maongezi yapo
1 Reactions
1 Replies
425 Views
Ni zaidi ya ofa. Brand Name: Hp ProBook 640 G1 Generation type: 4th generation Storage: HDD 500gb RAM 8gb (1 out of 2 slots) Processor : Intel(R) Core(TM) i5-4210M CPU @ 2.50GHz (4 CPUS)...
1 Reactions
2 Replies
654 Views
Habari wakuu na wakubwa zangu; Nipo hapa kujaribu bahati yangu kutoka kwenu, Inawezekana una nyumba Dodoma na huwa unaitembelea mara chache au unataka kuajiri mtu wa kutunza mazingira kiujumla...
5 Reactions
10 Replies
578 Views
Nahitaji vitu vifuatavyo. Sahani za udongo 20 Sahani za mifupa 200 Vikombe vya mifupa 200 Vijiko vigumu 200 Vikombe vya udongo 20 Majaba makubwa 4 Pipa la maji...
1 Reactions
7 Replies
435 Views
Back
Top Bottom