Wakuu wa Nchi natafuta hiyo betry nipo Arusha ,Au kama Kuna mtu anahitaji hiyo computer Bila betry tuwasiliane please .APPLE ,Marc book air .+255788860898 naweza kukutumia picha kwa whatsapp ,Thanks .
Nauza laptop yenye sifa zifuatazo:
*Model: TOSHIBA (Dynabook Satelite )
Prossessor: 1.60GHz
RAM: 512MB
Hard disk: 60GB
Bado ipo katika hali nzuri .
Bei ni Tsh: 400,000/=
Nipigie kwenye namba...
Wakuu habari.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, natafuta projector kwa kuonyeshea michezo, hususani mpira wa miguu. Kama unayo naomba nitajie brand na model specs nitagoogle. Shukrani.
Habari,
Kama kichwa cha habari hapo kinavyoeleza, mwenye kiwanja cha ukubwa kuanzia heka moja pembeni ya barabara ya Bagamoyo au barabara ya kuingia mtaani ila kisiwe mbali na barabara ya...
Ni eneo zuri la makazi mapya ambalo linakuwa kwa kasi ya ajabu, kinyerzi kifuru lipo kwenye gentle slope, you cant afford to miss.bei kuanzia milioni 10 kuna viwanja vinne tu 30x35 wahi sasa
Habari wadau,
Kuna siku niliona Mordem flani zinaitwa MOBILE PARTNER kwa rafiki yangu mmoja hivi sa ninaihitaji namuuliza umenunua wapi nami nikanunue ananiambia kauziwa na teja mimi hoi, sasa...
Wakuu habarini za asubuhi..
Nna shida na Samsung galaxy note 4 oruginal ila used kwa bei ya shilingi 750,000-800,000
Kwa yeyote alienayo ya kuuza Ani PM tafadhali
Magari yafuatayo yakiwa na vibari na njia za Daladala zinauzwa kwa bei rahisi sana unakaribishwa kuziona na ku bagain bei yote yako Dar.TOYOTA DCM 2, (zote engine ya...
habari wana jf!! natafuta nyumba ndogo nzuri ya kuishi hata kama ni servant quarter iwe ya vyumba viwili,kimoja kiwe self container. iwe na madirisha ya aluminium,dari ya gypsum ,sakafu ya tiles...
Wapendwa habari zenu,
Mimi nipo Dar es salaam natafuta soko la Asali mbichi ya nyuki wakubwa.Asali ambayo haijachakachuliwa kutoka Katavi.Lita nauza 11,000.
Kwa yeyote atakaehitaji tuwasiliane
ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING FOR PROFESSIONALS:-
Do you aspire to become more Competitive in your work? The Global Business Consulting (GBC) is a solution to your career aspiration in terms...
ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING FOR PROFESSIONALS:-
Do you aspire to become more Competitive in your work? The Global Business Consulting (GBC) is a solution to your career aspiration in terms...