Kama kichwa cha habari kinavojieleza, natafuta projector kwa kuonyeshea michezo, hususani mpira wa miguu. Kama unayo naomba nitajie brand na model specs nitagoogle. Shukrani.
Secret Service kuwa makini sana, kwani kununua projector used, inabidi utulie sana, kwani tatizo kubwa liko kwenye lamp,Usije ukanunua kumbe lamp yake imebakiza masaa 10,kuisha,itakula kwako, kwani upatikanaji wake ni inshu na bei yake inaweza fikia bei ya flat screen ya inchi 32!
Kuna jamaa yalimkuta, imebaki kama pambo ndani, labda zinazokuwa zimetumika kwenye taasisi kidogo kule huwa hazili mzigo mkubwa sana, ni masaa kidogo imezimwa, Kuwa makini sana.
Rahisisha zoezi, post utakayoweka hapa itakuwa stored kwny database hvy yyt atayekuwa na uhitaji km huo ni suala la ku search na kupata details ya hitaji lake la projector. I discourage mawasiliano nje ya thread hii hasa ktk hatua za awali km hizi.
Mkuu, white wizard respect. Thanks kwa kushare knowledge. One last question, nitafanyeje kujua masaa yaliobakia kwenye lamp? Au ndio mwenye mali aniambie kwamba katumia for how long na alikua anatmia masaa mangapi per say then nifanye estimation? Ofcoz lazima atanidanganya ili ninunue inifie. Msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.