F FRGR Senior Member Joined Aug 11, 2011 Posts 126 Reaction score 56 May 21, 2015 #1 Yeah ni mpya kabisa 25,000km imetoka bandarini. Kwa maelezo zaidi nicheki kwa 0713 190 118
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,224 Reaction score 103,326 May 21, 2015 #2 Weka bei na details Wapo watu hawazijui hizo Lancer ongezea nyama wapo wataopenda na watakutafuta. Afu gari 25,000 sio mpya Weka mwaka wake, CC etc
Weka bei na details Wapo watu hawazijui hizo Lancer ongezea nyama wapo wataopenda na watakutafuta. Afu gari 25,000 sio mpya Weka mwaka wake, CC etc