Ni nyumba kubwa Tu, ina vyumba 3, stop 1, master na choose chake, jiko, sitting room na dining room. Imeezekwa upande mmoja. IPO ktk kiwanja cha ukubwa wa futi 70*60. Nguzo ya umeme ipo JIRANI na...
Unfinished house for sale; located in Arusha Kwa Morombo.Three kms from Morombo centre. Vyumba 4including Master-bedroom, kitchen, dining room, store, large hallway, 3-car parking...
Nakupa blackberry torch 9800 used haina tatzo lolote kabisa pamoja na tecno M3 imetumika kwa mwez mmoja na nusu,ina kila kitu chake mpaka waranty yake. Wewe utanipa simu gani moja isiyo na tatizo...
Simu tajwa ni used ila ipo katika hali nzuri inauzwa kwa 300000.piainawezaa kama inawezekana tunaweza kubadilishana na simu nyingine(s4 preferred) kisha utaongezwa mpunga.
Kwa walio interested...
Habarini wakuu,,
Natafuta nyumba ya kupangisha nzuri, vyumba viwili au vitatu na sebule, self, iwe na geti. Ikiwa maeneo Tabata, kurasini, makumbusho au Ubungo ni vizuri japo ikiwa maeneo mengine...