Nahitaji korosho

Nahitaji korosho

wingman7

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
348
Reaction score
79
Habar, npo Dar mitaa ya Upanga nahitaji korosho zilizobanguliwa na tayari kwa kuliwa. Je naweza kupata kwa bei nafuu?
 
Nikushauri.....hapo kibaha mpaka chalinze kuna vikundi wanabanguwa korosho...watembelee uone na mutaelewana pia maeneo ya mkuranga mbele ya mbagala kidogo
 
Nikushauri.....hapo kibaha mpaka chalinze kuna vikundi wanabanguwa korosho...watembelee uone na mutaelewana pia maeneo ya mkuranga mbele ya mbagala kidogo

Ahsante je hjna contacts zao.
 
Ni kama sokoni tu.....wako sehemu moja wengi tu wanafanya kubanguwa.wanajulikana sana na vijana wachuuzi wa korosho kwenye magari huchukuwa kwao
 
Habar, npo Dar mitaa ya Upanga nahitaji korosho zilizobanguliwa na tayari kwa kuliwa. Je naweza kupata kwa bei nafuu?

Grade 1). 20,000 per Kg
Grade 2). 15,000 per Kg
 
Ohh Ahsante hzo bei ni za Dar au?

We unataka nyingi za kuuza au kiasi tu za kutafuna? Waweza kupata pakti kuanzia Tshs 500/- Mpaka Tshs 5,000/- kwa pakti ya kilo 1 ila sasa hiyo kutafuna tu peke yako Mpaka labda siku uwe na mechi!
 
Back
Top Bottom