Karibu Tanzania Educational ujipatie vitabu mbalimbali vya Kilimo na Ufugaji,Sheria na Haki za Binadamu,n.k kwa mawasiliano zaidi tupigie simu no +255 685 997 583/+255 0758147871 au +255 784...
Habari wadau.. Kwa wale wataalam wa kudesign logos. Inahitajika logo ya kampun ya ujenz na kampun ya ulinzi kwa anaefanya kazi hzo anichek +225712131136 tufanye kazi....
Kama Ulivyosoma hapo kichwa cha habari ninahitaji simu Smart phone iwe poa isiwe na tatizo pia iwe original Sitaki Michina Bajeti yangu ni 200000 iwe kwenye muonekano mzuri na isiwe na tatizo.
Kwa yeyote anaeuza simu tajwa hapo juu used lakini ikiwa katika hali nzuri naihitaji.
Kuna watu wana hujuma sana,mnaweka battery mbovu, memory card mnatoa cover na screen protector ndo mnauza...
noah new model ya 2004
Km-73000
bei-8.4mln(maongezi kidogo yako)
cc-1990
# ya gari ni CRN
Motor vehicle iko valid mpaka dec 2015
Insuarance comprehessive iko valid mpaka dec 2015.
Rangi ya...
For 50,000 unaweza pata a professional logo ama a very classy posts ambapo 3 samples zitakua inclusive pamoja na working project...
Contact me for more
Hizi ni samsung mpya kama unavoziona..
Kuna Note 3 sitaki kuongea sana maamu picha mnaiona hiyo nataka unipe 690 tuu nikuachie
Kuna Note tuu pia.. Siongei sana leo jaman io nataka 480 tuu...