Gari linauzwa

Gari linauzwa

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
95,677
Reaction score
136,286
noah new model ya 2004
Km-73000
bei-8.4mln(maongezi kidogo yako)
cc-1990
# ya gari ni CRN
Motor vehicle iko valid mpaka dec 2015
Insuarance comprehessive iko valid mpaka dec 2015.
Rangi ya gari ni silver, gari haijagongwa wala kupigwa rangi iko vizuri sana.
Picha ya hi gari inasumbua ku load humu

karibuni sana...hii syo gari kuacha kwa wale serious buyers nipigieni.
0715591141
 
Lisije likawa la le mutuz tu hili si nilisikiaga humu kua le tamkoz ana noah!lol
 
noah new model ya 2004
Km-73000
bei-8.4mln(maongezi kidogo yako)
cc-1990
# ya gari ni CRN
Motor vehicle iko valid mpaka dec 2015
Insuarance comprehessive iko valid mpaka dec 2015.
Rangi ya gari ni silver, gari haijagongwa wala kupigwa rangi iko vizuri sana.
Picha ya hi gari inasumbua ku load humu

karibuni sana...hii syo gari kuacha kwa wale serious buyers nipigieni.
0715591141

Ipo mkoa gani?
 
Kwa akataye taka ona picha ya noah hiyo ani pm # yake nimtumie via whatsap.
Karibuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom