Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Black LG G2, imetumika kidogo, 32GB inauzwa 460,000Tsh
1 Reactions
3 Replies
826 Views
Natafuta mtu anaeuza ma bale ya viatu vya mtumba hapa Dar. Nina duka langu na na wateja wanahitaji variety na good quality. Kama ni Kenya naomba basi contacts za hao wauzaji. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman wadau Nimechoka kuunga unga daladala za dar kila sku kwenda kazin, Hvyo aliye na Toyota corolla Ae100 ama mark 2 baloon,alioitumia na anauza,mim nahitaj bajet yangi ipo fixed mil.1.5...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS: Nyumba inapangishwa ipo Mlimani City mkono wa kushoto wa jengo A NSSF, Ina sebule, vyumba 3 viwili mastar, public toilet, jiko, A/c sebuleni na vyumbani, Parking gari...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu salam, Poleni na majukumu ya kutwa wakuu nimesoma nyuzi kadhaa humu juu ya kuimarisha uwezo wa sita kwa sita na jambo kubwa wadau wamezungumzia suala la mazoezi. Kutokana na muda wa kukaa...
1 Reactions
34 Replies
13K Views
Arusha, Electronic giantSamsung has continued with efforts of maintaining its leadership position withthe launch of its exciting 4G LTE enabled mobile phone range that has beendubbed...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Natafta Friji na Televisheni ya flat screen ya kuinunua huku Mwanza. Nataka second hand ama mpya bora tu zinafanya kazi vizuri. Any link to a shop or second hand dealer will be appreciated...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nyumba ya kisasa kabisa ipo kimara suka inapangishwa ina vyumba vinne vya kulala sebule kubwa na dinning ya kutosha choo cha ndani na nje maji yapo na matenki kama matano ya lita elfu 1000 2000...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau kwa wale wataalam wa kudesign logos mbali mbali inatakiwa logo ya kampun ya ujenzi na kampun ya ulinzi kwa Mtaalam ani pm au anichek hapa +225712131136 tufanye kazi.. Ahsante
0 Reactions
3 Replies
898 Views
Nauza Nissan Xtrail ya mwaka 2002,imeingizwa nchini hivi karibuni na imefanyiwa service mara 1 tu kwa genuine parts na Oil, iko katika hali nzuri kabisa, kwa sasa ipo Moshi. Bei 14.8m Kwa mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la umeme mdogo, wanaweza kupitia link hizi hapa kujua mbinu za utatuzi wa tatizo hilo; Kifaa cha kuondoa tatizo la umeme mdogo hiki hapa Kifaa kingine cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu tajwa inauzwa kwa 220k. nimeitumia mwaka 1 na miezi 2. kwa wasioifaham waangalie sifa zake hapa www.gsmarena.com/lg_optimus_4x_hd_p880-4563.php
0 Reactions
0 Replies
819 Views
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS: Nyumba ya kisasa inauzwa tsh billion 2, Ipo maeneo ya Mbezi beach Makonde karibu na beach. Ful furnished
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa yeyote atakaye blackberry bold 9900 anicheki naiuza kwa bei sawa na bure mie niko mwanza ni mpyaaa na iko sawa Nicheki kupitia 0764339400 Karibuni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gar ni make ya 2007 na.mpk.sasa.imetembea.km 89000 na.inatumia.petrol,kama unahitaj unaweza.nicheck hapa 0768359292 bei mil 95 bt.maongez yapo
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Laki mbili kwa mwezi ila ipo office apa laki nne kwa mwezi ina vyumba viwili ila na wewe kama unayo kubwa tunaweza. Kushare tuwasiliane 0757858617
1 Reactions
6 Replies
2K Views
anayehitaj line ya uwakala voda au tigo anichek no 0712191251
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama ulivyoona tangazo hapo ninauza tecno h6 kwa BNei ya Tsh Laki moja na Nusu tu, kwa aliye tayari aniPM au kwa 0764361843 nipo Manzese..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kodi Laki3.5/mwezi- Kodi ya Mwaka. Vyumba2,Sebule,Jiko,Choo ndani. Full A.c, gypsum, tiles, Uzio, Parking. #0752953860 #0683499369
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Anatafuta mlango wa alminiamu wa frem ye urefu futi sita na nusu na upana futi saba namba yake ni 06560255640 au 0655756717 Anapatikana tabata shule kama unae mpigie muelewane nae kwa namba hizo...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…