10 acres; Bei: $ 350,000
Simu: 0787 528745
Umeme, kisima, mabanda matatu na kila banda linabeba kuku 12,000; godown, kinu cha kutengeneza chakula cha kuku,mashine ya kunyonyoa kuku, cold room...
Habari wanajamii,
Ninauza gari bei nafuu,
Aina: FORD ESCAPE
KM: 127,300
BEI: 23,000,000 Tshs
Plate No ni "C"
SIMU: 0717221590
Maelewano yapo kwa aliyetayari ataonyeshwa na kupewa nafasi ya...
wadau, nina hii simu mpya aina ya sony experia v3+, nimeinunuaa tu juzi lakini inabidi niiuze tena kwa sababu za kifedha.
Nimeinunua Tshs laki 3 na 30. Ukiwa na interest nayo niambie, nakupa kwa...
Imetumika kwa matumiz binafsi na si boda boda(kibiashara), vibali vyote vinafanya kaz, ina hal nzuri kabisa haina tatzo lolote katika Engine, no yake na T....Cwz.
Bei ni 1,500,000/=fixed.
Mwenye...
Nakusudia kusafiri kwenda Vijijini ambako hakuna umeme but shughuli ninayoenda kuifanya itahusisha matumizi ya Laptop naomba kujua kama kama naweza kupata Bank charger ya Laptop Hapa Dar au njia...