Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

bei mil 15 tu bado mpya tumefanyia kazi miezi sabab,tuliagiza kutoka Pretoria na inatumia umeme inapiga tofali mpaka 1000 kwa siku
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Iphone 4 16Gb white Good condition 250,000 na Iphone 4S 16Gb good condition 320,000. 0716163696
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Tunauza na kununua magari used, pia vifaa vya electronics, nyumba na viwanja. Pia tunatoa ushauri wa biashara, kodi pamoja na kuandika business plans and project proposal. Hotlines 0787074898...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Habari Jf, Natafuta Toyota Hiece kwa 7m~10m. Kama kuna mtu anauza aje pm.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pikipiki aina ya King Lion yenye miezi tisa inauzwa. Ipo katika hali nzuri na haijawahi kupata matengenezo makubwa. Inatembea na kufanya kazi zote na inafanya kazi za Bodaboda. Mwenye kuhitaji...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nimeambatanusha picha, mwenye kujua jina la haya mawe na thamani yake naomba anijuze.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SIMU tajwa hapo juu ni almost mpya nimeitumia kwa wiki 2 nauza shiling laki Tatu tu kwa maelezo zaidi unaweza kunicheck kwa 0686274501 najaribu kutuma picha naona zinazingua I will try again later
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Kwa anayehitaji projector jaman, anicheck kwa no 0715 546818
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Wajuzi wa mambo, Nina simu yangu ya Samsung Galaxy S4 imecrack screen hivi naweza pata screen ya kubadilishia na ikafanya kazi vizuri? Nipo Dodoma
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Kwa mahitaji yako ya Kuprint T-Shirt, Kofia nk. Usisite kuwasiliana nasi. BLEM TEXTILE ART +255 658 202 011 Karibuni Nyote.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta nyumba ya kupanga eneo la nyakanazi yenye sifa zifuatazo: iwe na vyumba 3, iwe na choo na bafu, iwe imepigwa lipu na sakafu. Kwa mawasiliano piga 0765354360 au 0688354360
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haloo, Nahitaji simu tajwa hapo used btu in mnt condition Nipo Dar kama unayo ncheki 0714547830 whatsap Ukija njoo na picha with bei
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Tunawatangazia mkutano mkubwa wa injili katika kanisa la FPCT Nyakanazi utakaoanza 15.07.2015 hadi 19.07.2015.mwinjilisti machachari, wa kimataifa, Mch. ERASTO NDEBEREHO atahudumu. Kwaya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Gari tajwa hapo juu nahitajika iwe number dd..au haijawahi tumika Bongo. Iwe truck, cc isizidi 1500, mwaka kuanzia 1990, bajeti milion 8. kama unayo nicheki 0763364459 Asanteni
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Nyumba ina partition 2 lakini upande mwingine haijamalizika kwa ujenzi but kila partition ina vyumba 3 1 master na jiko yote kwa pamoja nyumba inauzwa mil 70. Kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je, wewe ni mfugaji wa kuku na unatafuta soko la kuuzia kuku wako? au wewe unahitaji kupata kuku wa kienyeji? Kama jibu ni ndio. Weka namba zako za simu huku nikuunganishe na soko la kuku wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta Toyota Hurrier iwe na cc 2200 kushuka chini mwenye nayo unitumie picture what's up. Kwa Namba 0757 751891
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Nilitaka kujua wale waliofanya kazi ya BVR operator walikua wanalipwa kiasi gani kwa siku?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nauza iphone 4 ina crack kidogo karibia na home button ipo safi kabisa haina tatizo lolote na pia ipo unlocked(haijafungwa) price 200,000 Kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari ndugu, Nauza website ya habari na matangazo ya kazi ,ni website nzuri sana na pia tunaweza kuibadilisha kukidhi maitaji yako. Pia hii website ni mult-site maana yake unaweza kutengeneza...
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Back
Top Bottom