Soko la kuku wa kienyeji

Soko la kuku wa kienyeji

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Je, wewe ni mfugaji wa kuku na unatafuta soko la kuuzia kuku wako? au wewe unahitaji kupata kuku wa kienyeji?
Kama jibu ni ndio. Weka namba zako za simu huku nikuunganishe na soko la kuku wa kienyeji. Kama unawauza taja idadi unayouza na bei pamoja na ukubwa wa kuku, ukitaja sehemu ulipo.

Karibu...
 
Back
Top Bottom