Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

INA VYUMBA VYA KULALA VITATU ( MASTA BEDROOM 1), JIKO, STORE NA SEBURE. INA UZIO NA NYUMBA NYINGINE NDOGO YA VYUMBA VIWILI. BEI MAELEWANO. kWA MAWASILIANO KUIONA AU KUJUA BEI YAKE 0784225000...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauliza bei ya hiyo simu na kwa hapa mwanza nitapata wakala wao sehemu gani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fundi bomba mzuri mwenye cheti, mzoefu. Nafunga solar heater, majakuzi, installation of sanitary appliances, drainage system, kufunga pump, water tanks, bafu za kisasa, na ushauri jinsi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina,
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wireless Selfie stick available We at Quality Centre Little Dar festival Contact: 0712 888 884 Only 20,000tzs Whole sale price is 17,000tzs Only for 30,000tzs whole sale price is...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
OFFER OFFER... Tempered Glass protector Only for 10,000tzs Also available for whole sale We are at Quality centre. Little Dar... 0712 888 884 IPHONE Iphone5, 5s, 6 and 6plus SAMSUNG A3...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa anayehitaji nitafute kwa simu namba hii 0654 817575 Karibuni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF... Yale mashamba ya Kibaha Madafu bado yapo... Kuna watu walienda serikali ya mtaa tofauti so wakaambiwa vitu tofauti na kuona kuwa kuna UTAPELI unataka kufanyika... Jamani HAKUNA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau hamjambo wote... Nimehangaika sana kuhusu tatizo la baterry kwenye simu yangu ya S3 na tatizo nimekuwa nakumbana na battery amabazo ni mabonye sana.. So naomba mwenye connection au mahal...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
kama tangazo lilivyo hapo juu, nina simu tajwa imedondoka na vile vibutton vya pembeni vimedondoka na kupotea, nashndwa kuwasha na kuzima simu mpaka nitumie kijiti au funguo! Text 0657 445 777...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maeneo ya kyakailabwa, nshambya, kahororo, na ihungo ama nyakato ..mwenye kaeneo kake ama kama unamfahamu mtu anacho basi poa tufanye mambo, namba zangu ni 0717522175 Karibuni
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Upande wa nyumba unapangishwa maeneo ya Jogoo, Mbezi Beach. Umbali kutoka barabarani ni kama dakika 10 - 15 kwa miguu.Kuna chumba cha kulala, sebule, choo na sehemu ya jiko. Hamna usumbufu wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
ipo pamoja na chaja yake internal 16 GB kwa 680,000/= nichek apa 0718033066
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nanunua used hp envy,,watsapp #0788314003
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Zipo za namba zote kwa bei nafuu 180,000/= tokelezea zpo black na red pia.. nichek apa 0718033066
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari JF, Nilikuwa naomba kujuzwa hiyo simu tajwa hapo juu bei ya dukani kwa sasa ni sh ngapi? Asante..
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ni wapi zilipo yard za SBT na Berforward dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pessa hiyo inahitaji inipe simu..ila iwe bland ya samsung yenye akili kimtindo isiwe inashida mkubwa wa kazi pm.
0 Reactions
0 Replies
775 Views
kuna njia zipi za kupata 4G tigo simcard
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama kuna mtu anajua mobile shel(mauzo ya mafuta kwa kutembeza) maeneo ya kinondoni au mwenge.
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Back
Top Bottom