Brand new HTC one m7 for sale
Original, Boxed with full accessories
1.7 GHz quad-core processor
32GB Internal Storage and 2GB RAM
4.0MP Back Camera (ultra pixel technology ) and 2.1 MP Front...
Sasa unaweza ongeza usito wako bila kuaribu afya wala kuleta matatizo yoyote kiafya usisite lakini pia kuna virutubisho vingi pia ambavyo vinaweza kuboresha afya ya miili yetu. Health is the...
Tunahitaji majengo yanayofaa kwa chuo hapa DSM.Muhimu yawe ndani ya DSM,eneo tulivu lisilokuwa na kelele za watu au magari.Pia iwe rahisi wanafunzi kufika- liwe jirani na daladala zinapopita...
Wakuu,
Naomba kusaidiwa kwa hapa dar ni show room gani wanauza gari zilizo katika hali nzuri.
Pia shoo room ambazo hazichakachui kilometer za magari.
Msaada tafadhali
Wadau nina gari ya 2001 Volvo S60. Juzi kati ilipata hitilafu kwenye cooling System yake baada ya kuwa na leakage kwenye rejeta. Aliyokuwa anaendesha pia hakusoma alert ya temperature gauge sasa...
Tunauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla 13000tsh kwa trey, order tunasambaza kuanzia trey 10 unaletewa hadi ulipo.
Kwa anaehitaji au mwenye kufahamu masoko yake tuwasiliane kupitia...
Habari wanajamvi naomba msaada wenu kwa leo jumapili ni wap naweza pata gari la kununua, kati ya haya, toyota allion, raum, carina, au gari lolote dogo ispokuwa sitak starlet, ist na vitz au...
MWAFAKA UMEPATIKANA
Tunamtambo wakuweza kuondoa chumvikwenye Maji katika Visima vyote mwenye kuitaji
Mtambo unaitwa R.O yan reverse of Smith inatoa Maji chumvi ya aina Yoyote
Utaratibu upo...