Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau wa jamvini, Niataji kiwanja na shamba la kununua kata ya pahi(kondoa). Mwenye kiwanja au shamba nijulishe inbox au kwa namba 0767727388.
1 Reactions
0 Replies
317 Views
Wale msiojua mnaoingia asala Kila wakati kununua taa za gari ako, mkombozi amepatikana , Okoa ghalama za kununua headlight hadi lakin tatu nakuendekea Kwa sh elf 30 tuh! Hii huduma yakuondoa...
0 Reactions
3 Replies
542 Views
Guy kama Kuna opturnity Naomba kazi, l do concrete posts making on client land and fencing.
1 Reactions
3 Replies
272 Views
Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja. Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Shamba la ekari kumi (10) au zaidi linauzwa eneo la Vianzi, ni umbali wa Km 6 kutokea Vikindu, barabara ya Kilwa, Km 36 kutokea katikati ya jiji la Dar. Linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji, kwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Naitaji pawer bank kuanzia capacity 50000mAh na kuendelea mwenye nayo nayo njoo tufanye biashara au wapi nitapata.
2 Reactions
3 Replies
651 Views
.
0 Reactions
3 Replies
518 Views
Nokia 105 Full box bei ya jumla 22,000. Rejareja 24,000. Zinaingia line mbili Kwa mawasiliano zaidi : 0717 592 165
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Nauza suzuki carry kirikuu ipo vizuri haina tatizo lolote bei 5,000,000/= Dar es salaam temeke kwa mawasiliano 0742100444
2 Reactions
2 Replies
570 Views
Kitabu "Make Money With Affordable Apartment Buildings and Commercial Properties" kinazungumzia njia mbalimbali za kuwekeza katika mali isiyohamishika kwa gharama nafuu. Hapa ni mambo 10...
1 Reactions
1 Replies
594 Views
Nauza saa aina tofauti zenye ubora hakika kwa uaminifu. Karibu Napatikana Tabata, Segerea Mawasiliano: 0677009608
0 Reactions
2 Replies
521 Views
Utapunguza gharama kwa 45% ukitumia mashine ya VFD, hii ni mashine ndogo inayokuwezesha kutoa risti halali za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi, ambayo gharama zake mpaka inakamilika ni...
0 Reactions
13 Replies
959 Views
Je King'amuzi chako kimepoteza CHANNEL?? Au Kuna channel ambazo hazipo kwenye ORODHA?? Unapata Ujumbe wa NO SIGNAL....Usijali piga 0789200181 Fundi aje mpk ulipo kwa gharama ya Tsh 25000/=...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Wasalaam. Naomba ushauri. Natamani kuanza biashara ya kuuza power tools. Power tools ni vitu kama drill machines, hand saws, fyekeo la majani la umeme/ mafuta, compressors , vya kupulizia rangi...
0 Reactions
1 Replies
392 Views
Habari wadau. Ninauza Google pixel 4a. Good condition ✅ 🛜 5g 🗄️Gb 128. 🔋Inakaa sana na charge 📷 Kamera kali 🔥 Location: Dar es salaam. Mbezi juu (kwa sanya) , Goba Road Price; 280,000/=
0 Reactions
8 Replies
830 Views
Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo hatutojutia hata kidogo...
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Wengi huamini kuwa kutawanya uwekezaji uhusisha kuwekeza mitaji fedha kwenye aina tofauti tofauti za bidhaa au huduma. Lakini hii sio kweli. Ni rahisi kutawanya uwekezaji kwenye hisa kwa sababu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Karibu kwa mahitaji ya rim nzuri za kupendezesha gari yako, size tofauti tofauti kwa bei poa kabisa. Tunapatikana Lumumba St, Dar es Salaam Whatsapp/ normal call +255626682228
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Hello, habarini za kutwa wapendwa, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninauhitaji na fremu kwa ajili ya duka la kuuzia nguo na viatu kwa Moshi mjini, kama nitapata maeneo ya kuanzia stendi...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom