Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau. Ninauza Google pixel 4a. Good condition ✅ 🛜 5g 🗄️Gb 128. 🔋Inakaa sana na charge 📷 Kamera kali 🔥 Location: Dar es salaam. Mbezi juu (kwa sanya) , Goba Road Price; 280,000/=
0 Reactions
8 Replies
831 Views
Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo hatutojutia hata kidogo...
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Wengi huamini kuwa kutawanya uwekezaji uhusisha kuwekeza mitaji fedha kwenye aina tofauti tofauti za bidhaa au huduma. Lakini hii sio kweli. Ni rahisi kutawanya uwekezaji kwenye hisa kwa sababu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Karibu kwa mahitaji ya rim nzuri za kupendezesha gari yako, size tofauti tofauti kwa bei poa kabisa. Tunapatikana Lumumba St, Dar es Salaam Whatsapp/ normal call +255626682228
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Hello, habarini za kutwa wapendwa, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninauhitaji na fremu kwa ajili ya duka la kuuzia nguo na viatu kwa Moshi mjini, kama nitapata maeneo ya kuanzia stendi...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
🚙Jeep Grand Cherokee ➡️Limited edition ➡️Make 2014 ➡️CC 3600, Petrol ♨️ECO consumption tech ➡️Auto 4x4 transmision ➡️Push start ➡️Air suspension auto ➡️Cruise control ➡️Auto Idle control...
1 Reactions
1 Replies
523 Views
Wapi napata two bedroom furnished apartment kwa miezi sita. Nataka kuja dar na begi langu tuu. Budget 800k kwa mwezi
1 Reactions
2 Replies
524 Views
(Kushoto Kwenda Kulia) Mheshimiwa Bw. Rohit Vadhwana, Kaimu Kamishina Mkuu wa India, Sharad Malhotra - Makamu wa Rais Mkuu, Nipsea Group, Hardev Singh- Rais na Mkurugenzi (Idara ya Kiwanda)...
0 Reactions
4 Replies
442 Views
Natafuta chuo kinachofundisha ufungaji wa cctv cameras na mambo mengine yanayoshabihiana.Mwenye kujua tafadhali naomba msaada.Kuna sku niliskia kwenye radio wanatangaza bahat mbaya sikujua ni...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Clearance sale, OFFER OFFER OFFER JIPATIE CCTV CAMERA KWA ELF 40 TU NDIO NI ELF 40 TU MFUNGIE DADA WA KAZI NYUMBANI INANASA VIDEO NA SAUTI UNACHOMEKA MEMORY CARD UKIRUDI UNAANGALIA MATUKIO, AU...
0 Reactions
3 Replies
579 Views
ON SALE🚘 (DLQ) CROWN ATHLETE KALI 0688591584 LOW MILEAGE 84000 YEAR 2OO6 ENGINE 2490 💺 🫧 CLEAN SEAT *Price (8.900.000) ✅Exchange allowed 📍Loc Dsm
0 Reactions
1 Replies
449 Views
Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi. Tupo Kariakoo pia wateja wa...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Chumba na choo chake (Masta), kipo ndani ya fensi, maji ndani yapo, parking ipo, luku submita, umbali wa kutembea dakika 3 tu hadi kituoni. Call - 0679268006 au 0716442950.
1 Reactions
94 Replies
6K Views
Habari, Natafuta Dldm ya kununua offa yangu 2.5 Hadi 3 Mil Mauzo kwa siku angalau iwe 25k Hadi 30k kwenda juu DUKA LA DAWA MUHIMU
0 Reactions
1 Replies
417 Views
Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za Kilo 4.5 - 120,000 tu Kilo 7 - 560,000 tu Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford Offer hii si ya kukosa kwa kipindi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Fundi simu matatizo ya software anaejitambua Yupo hapa. Kazi zote za Kuondoa Lock simu za android na ios karibuni sana. Yawezekana kwa namna yoyote umesahau password ya simu uliyonayo Leta...
5 Reactions
12 Replies
947 Views
Mshkaji wangu kaingia States kaniachia mazaga zaga kibao geto sasa kuna hii air jordan tatizo size ya mguu hatuvaliani. Size 43, kiatu bado kipya kipya , bei chee tu tunafanya biashara. Kiatu...
0 Reactions
15 Replies
878 Views
Wakuu nahitaji laptop Hela niliyo nayo 500,000 Iwe na angalau sifa zifuatazo Ram 8GB STORAGE - SSD angalau 200 gb Generation 6+ Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA Ukubwa wa Kioo usizidi nch 12...
2 Reactions
8 Replies
622 Views
MASHINE ZA JUISI YA MIWA ZIMEWASILI MILLION MOJA NA LAKI MBILI NA NUSU TU (1250000) JIPATIE MASHINE YA JUISI YA MIWA IMARA NA BORA KUTOKA CHINA ZIMEWASILI SASA UMEME KIDOGO SANA SIFA YA HIZI...
0 Reactions
125 Replies
21K Views
Back
Top Bottom