Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mwenye laptop used nzima isiyo na virus wala isiwe slow yenye housing safi tuwasiliane ila iwe mwanza
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarizenu wana JF natumai muu wazima waafya natafuta mtu awezaye kutengeneza logo pamoja na website shughuli zangu ni upasuaji na uuzaji wa mbao. kwamawasiliano zaidi. +255768181757 napatkana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Brandnew Samsung Galaxy s4 for sale Original, Boxed with full accessories 16GB Internal Storage 1 year warranty Price 430,000 Contact 0718942311 or 0785300134
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu, Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa 20 by 20 metres. kipo kimara bonyokwa, sio ndani sana. kipo njiani kabisa. kwa anaehitaji naomba ani pm. Bei maelewano mimi nilinunua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Suzuki escudo. mwaka 1993. manual cc 1590 km 265000 bei 6.8 0653533784
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu katika kuchambua mawazo mbalimbali mliyonipa, nimeona ninunue (bado) simu kati ya hizi mbili kupitia JUMIA: 1. Nokia lumia 630 2. Microsoft lumia 435, naomba ushauri zaidi kati ya hizi...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Mwenye kuhitaji nauza kwa jumla jumla na contena zima..ni pm
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi..jaman natafuta chumba cha kupanga Tanga mjini maeneo ya tangamano kwa yeyote anaue fahamu anijulishe 0785004706..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ps2 inauzwa kwa kilo na 40 ina kila kitu Pad2 Adaptor Memory card Flash kama unahitaji ni pm au nichek 0718864384 0759022981
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Kutokana na tathmin niliyofanya nimeona biashara za makampuni ya simu zinalipa hvyo ninataka kujikita huko now mawasiliano un PM
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba ya kupangisha yenye vyumba viwili/vitatu vya kulala na huduma muhimu kama maji na umeme.iwe inajitegemea.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Arusha self container, bed room 3, jiko na inaa uwanja wa kutosha kwa parking pia iko katika hali ya usalama BEI MILION 70. IKO OPPOSITE NA PPF MAWAZSILIANO 0753958696 nyumba za...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kwa wale wenye studio kwa ajili ya kuredi music -audio au video, nauza used monitor speaker mbili aina ya Digital Karaoke. kwa bei ya shs 160,000/= mawasiliano 0756 5047 01
0 Reactions
1 Replies
5K Views
VIWANJA VYA SERIKALI VYENYE HATI MILIKI MAENEO YA KIGAMBONI NA AMBAVYO HAVINA HATI MILIKI. PIA NYUMBA ZIPO VISIVYO NA HATI MILIKI KIGAMBONI TOANGOMA Viwanja vipo kuanzia milioni nne na nusu na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hii ni Ofa Maalumu itakayo kuwa inapatikana kila siku za Mwisho wa Juma(Wkend) tu. Utaweza kumiliki/Kununua External HDD yako yenye ukubwa wa 1TB(1000GB) kwa Bei ya Kutupa ambayo hutaweza kuipata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vigezo: -Namba ianzie na 'C', -Iwe imetembea chini ya km 100,000 -Sina choice ya Make na Model lakini iwe na upana (ukubwa) wa kutosha -Isiwe na hitilafu yoyote ya kiufundi -CC zisizidi 2,000...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Mwenye hiyo simu na anauza ani pm fasta tufanye biashara, nipo dar. Mwisho wangu ni laki 5
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza ipad mini mpya jamani Storage ni 16gb Model MD534LL Version 6.0.1 Bei ni laki tano tu. Tunaweza ongea kidogo. Ni mpya ndani ya boksi lale na kila kitu chake. Karibuni jamani
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu bajeti yangu ni milion 4,natafuta vitz,starlet au passo, kama unayo ni pm
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…