Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Pata dstv compete set. Used kwa tsh 110,000, Kwa wanunuzi tu. Wasiliana na muuzaji 0714260412 Muuzaji yupo ubungo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kuna Blogu ukiziangalia na Content yake haviendani ,content nzuri but poor Design. Sasa naweza kukusaidia kupata design nzuri kwa Buku kumi na Tano tu. 15000/=. Hata kama huna Blogu...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wanajamii. Nina shida, nataka kuhama nimemaliza mjengo wangu, nilikuwa nakaa kwenye nyumba nzuri sana ya kupanga hapa Pugu Dar. Kodi yake ni laki mbili. Nililipa miezi sita mkataba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nyumba hiyo hapo chini nahitaji mtu wa kunirudishia hela kwa miezi 3 iliyobaki. Nilipanga tangu tarehe 15.06.015 na kodi inaisha tarehe 15.12.2015. Kodi yake ni shilingi laki mbili kwa mwezi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafua scientific calculator iwe nzima yenye function 991 es napatikana Njombe kwa sasa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
... sold sold
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Habari zenu, Ninani asieenda chooni katika sayari hii? Tofauti kati yako na Vladimir Putin ni kwamba choo chake kina thamani ya $70,000 wakati wewe chako hakitamaniki,choo ni starehe bwana sio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chumba1- 90,000 hadi 60000 Chumba Masta - 150,000-200,000 Chumba na sebule-100,000-150,000 Chumba Masta na choo ndani -250,000 hadi 200,000 Nyumba vyumba2, sebule, jiko, na choo ndani -400,000...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tovuti hii ipo tayari hewani Wataalamu wa designing na kui-control(IT techinician) Tayari wapo Mwekezaji anahitajika awekeze katika publicity Ingia usome idea yake ya ufanyaji kazi Kama utakua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza brand new external dvd writter tajwa. bei 55000. call 0783380123 or 0762295954
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Habari WanaJF, Natafuta Frame Mikocheni isizidi TZS 500k kwa mwezi. Tusaidiane. Rgds, CEY....
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta fundi mzuri wa kupau nyumba anayeishi dar es salaam . Asante
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei 4.5milion viko sehemu nzuri sana umeme upo, maji ya Bomba yako, na vyote vinafikika kwa barabara Piga #0713154547 kwa taarifa zaidi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zinapatikana Bei ni elfu 60,000/= kwa maelezo piga 0783 132193 karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi wa tekinolojia, Bado nipo katika mtiririko wa kifaa ambacho nimeekiita AVB(Automatic Low Voltage Booster),ambacho kazi yake ni kusaidia kuongeza umeme katika maeneo...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wanat JF Napenda kuwataarifu kuwa nina blog ninauza ziko 4 na zote zina watembeleaji wa kutosha na pia nina akaunti ya matangazo ya bidvetiser ambayo ina dola $50 sawa na Tshs100,000...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyumba mbili zipo kwenye kiwanja kimoja zinauzwa, zina hati zipo eneo zuri kwa biashara zipo kilometre 1 kutoka ferry
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei kuanzia 4.5milion pungufu mnaongea. Huduma muhimu zipo kama maji, umeme na barabara nzuri Kwa taarifa zaidi piga #0713154547
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jumapili saa tisa alasiri tarehe 13. 09. 2015 club ya wazee ilala kutakuwa na mkutano wa wafugaji kuku mkoa wa DSM siku ya jumapili kujadili juu ya upandaji wa bei ya chakula cha kuku na madawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…