Wadau wa ujenzi wanaojenga Kinyerezi na maeneo jirani na wanaopendelea mabati yenye migongo mipana nawaarifu kuwa mimi nilinunua mabati lakini hesabu niliyopewa na fundi ikasababisha mabati yazidi...
Tunatengeneza Dreids na Natural hair twist,popote ulipo tunakufata piga simu namba 0689494232kujua bei na kufanya appointment, Tupo Dsm mikoani pia tunaenda.
Ardhi tupu ekari 1000 zinauzwa @140000/=
Zipo wilayani Mufindi umbali WA kilomita 70 kutoka Mafinga mjini. Pia ardhi ekari 30 zenye miti aina ya pine zinauzwa( miti INA umri WA miaka...
Wapendwa,
Mimi natengeneza tshrt zenye logo mbalimbali natafta wenye maduka ya nguo na bidhaa za urembo kutoka mikoa tofaut ili nifanye nao kazi.Kwa watakaopenda kufanya biashara na mimi...
Epuka sana njia na vipodozi visivyo salama na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) maana vitakuletea matatizo mbali mbali ya afya kama vile kansa, allergy, ngozi...
Maelezo:
Eneo liko umbali wa kilomita 40 kutoka Kigamboni.
Eneo ni zuri: tambarare,pana rutuba,pana maji yasiyo na chumvi.Panafaa kwa makazi, ufugaji na kilimo.
Panafikika kwa...
Wana JF,
Natafuta vioo vigumu (tempered glass) kwa ajili ya kutenenezea shelfu mbali mbali.
Picha za mfano wa vioo hivyo ni hizi hapa chni.
Anayefahamu wapi nitapata vioo hivi anijuze.
Asanteni.
S.T CONSTRUCTION ni kikundi cha vijana katika taaluma ya ujenzi kutoka Dar Institute Of Technology,ni vijana tulioamua kujiajiri baada ya kumaliza masomo yetu, kikundi kimesajiliwa na CRB kama...
Guys habari za wakati huu
Nataka kununua hii pikipiki tajwa hapo kutoka kwa mtu Nahitaji ushauri kwa maana ya kwamba ni vitu gani vya kuzingati katika mchakato mzima wa manunuzi
Lakini pia...