Husikeni na kichwa cha habari hapo,,
Kama kuna mtu humu anafanya biashara za vifaa vya electronics anisaidie devices hizi::
Encoder:HT-12E mbili.
Decoder:HT-12D moja tu.
Rf module(TX-433.93MHZ...
Husika na mada tajwa hapo juu.Nauza simu aina iyo sim iko pouwa kabisa imetumika mwez mmoja t iko katika mazingra mazur.Ila ina kitatizo kidogo sana cha spika ya nyuma inakwaruza kuhusu ilo nadhan...
Anahtajika kijana mdogo kwa ajil ya kaz ya kuuza nguo
SIFA
Awe mchamungu na mwaminifu
awe mchangamfu
Awe tayar kufanya kaz kulingana na maelekezo atakayopewa
Kwa mawasiliano zaid 0766866683 au...
Wadau,
Ninauza vifaa kadhaa vya kuanzishia au kuendeshea biashara ya car wash kama ifuatavyo:
Presher washer aina Portatechnica yenye pressure guns mbili-Condition almost new-Bei 800,000/=
Wet...
Habari za muda huu.
Mimi ni mmiliki wa Tv ya kisasa aina ya Philips Flat Screen Inch 20.
Natafuta mtaalamu wa kutengeneza kioo/screen kwa kuwa hiki kideo kilipata hitilafu ya kuteleza na...
A 3 bedroom house in Sinza "Queen of Sheba", is for rent, only 400,000/= per month, six months advance payment can be accepted.
Please contact us on 0655957715..
Habari zenu waungwana.Kwa wale walioko Mwanza wanaohitaji kupata huduma ya video recording kwenye matukio yao mbalimbali kama harusi, sendoff, ubarikio n.k na video recording za kwaya tuwasiliane...
hallow, let us be ok financially, now we are offering instant financial assistance to those in need, starting from 50,000 to 500,000, ,security can be, laptop, televisions, tablets, home assets...
Habari ndungu zangu.. Kama tangazo linavyosema ninauza TV inchi 21 aina ya Samsung na sababu ya kuuza ni nimepata TV nyingne kubwa zaidi.. Atakae kuwa interested tafadhali nitafute kwenye number...
Habari wakuu,
Napokea oda ya mzigo wa saa kwa wale wanaohitaji, jumla na rejareja. Mzigo unatokea Shenzhen- China.
Baada tu ya kutoa oda yako, utaletewa mzigo mpaka ulipo free of charge.
Saa...
Kipo sasi km 1.5 kutoka lami barabara ya Arusha -Moshi. Hatua 18 kwa 23. Umeme na maji ni ya kumwaga. Ni karibu na kilipo Chuo cha Ualimucha Arusha TTC. Bei ni mil. 15 maongezi yapo.
Twanga...