Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Accessing Mufindi

New Member
Joined
Oct 3, 2015
Posts
1
Reaction score
0
SHAMBA LINAUZWA
Shamba lenye ukubwa wa ekari 80 linauzwa. Shamba lipo Mufindi (Kata yaIhanu, Kijiji cha Isipii).
Shamba lina hati miliki na linafaa kwa upandaji wa mitiya mbao (pine), upandaji wa miti ya nguzo, upandaji wa miti ya matunda na ufugaji.
Bei ya ekari moja ni shilling za Kitanzania 270000.
Shamba lipo umbali wa Km 90 toka mji wa Mafinga.

Kwa mawasiliano:
[Phone Numbers] = +255 758 398323; +255653 115495


[E-mail]: thomasnaftery@gmail.com
 
Aisee usije ukauza Shamba langu hapo Lulanda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom