Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakazi wa Kigamboni siku ya Jumapili waliweza kufurahia ladha za vyakula mbalimbali vya asili kupitia kampeni ya ‘Coca-Cola Kitaa Food Fest’ ambayo iliyofanyika Geza Ulole wilaya ya Kigamboni...
2 Reactions
4 Replies
489 Views
CHINI 3BEDROOMS JUU 2BEDROOMS SEBULE 2 ,JIKO DINING,STORE AND LAUNDRY PLOT SIZE 30X30M ESTIMATED COST MPAKA ROOFING (120M) CALL/WHATSAP +255624004650
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Matajiri hamjambo...... Nauza hereni zangu, mmiliki mimi....ni gram 1.4 nahitaji laki 3 tu ya fasta, ila ukiniongezea nitashukuru... Kaka zangu haya zawadi ya weekend mkawasapraizi muwapendao...
20 Reactions
71 Replies
3K Views
Kwenye vitabu ndiyo mahali unapokutana na watu wenye akili sana na mawazo chanya na tunduizi ambayo yanakufanya uelimike , ufurahi , ushangae na hata kuduwaa. Sasa kupitia uzi huu tukutane hapa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
MMEA WA AJABU – COMFREY Comfrey ni mmea uishio miaka mingi. Una umuhimu kama mboga zenye afya kwa familia, pia malisho bora kwa wanyama wengi. Majani ya mmea huu huweza kutengenezwa mbolea kwa...
8 Reactions
38 Replies
11K Views
Wapi naweza kupata wanaoprint label za chupa za vinywaji kama beer na wine?
1 Reactions
3 Replies
366 Views
Nimekuja hapa kuuliza bei na mahali wanapouza SUB MISSIBLE WATER PUMP 1.5HP maana yangu imeungua CAPACITOR YA NDANI Nipo MWANZA
0 Reactions
7 Replies
617 Views
Habari za muda ......nauza trailers na vichwa vyake kwa bei ya 10m kwa 8m....vinapatikana kibaha mkoani pwani...kwa mawasiliano zaidi 0767 015 189
1 Reactions
0 Replies
288 Views
Tajiri yupo Dar es salaam. Ananunua Kontena za Ft 20 na Ft 40. Ziwe katika Hali nzuri. Baada ya makubaliano, Usafiri ni juu yake. Atasafirisha kontena zilizopo Nje ya Dar es salaam. Zinahitajika...
2 Reactions
14 Replies
663 Views
Wadau nataka kuweka uzio kwa kutumia waya hizi ,je bei yake kwa roll zima ni kiasi gani na hiyo roll moja urefu wake ni meter ngapi?
1 Reactions
13 Replies
10K Views
Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili...
1 Reactions
73 Replies
5K Views
Natafuta dawa ya kuzuia mijusi isiingie ndani ya nyumba
3 Reactions
10 Replies
2K Views
• Direction: Nyrerere Bridge Road • Yard Area: 10,500 sqm • Rent: USD 10,000/month (payment in TSH is accepted) • Terms: 5 to 10 years • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ yard imepimwa na ni salama...
1 Reactions
0 Replies
523 Views
Habari Nauza kamera tajwa hapo juu. Iko katika very good condition. Nilikuwa naitumia kushuti video za kitchen parties nilizokuwa naandaa. Haijatumika muda mrefu nimenunua ya juu yake ambayo ina...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Bei 70k Niyamtu hivyo hatujui inaram ngapi wala hdd wala tatizo Imezima muda kidogo (kwa mujibu wa aliye nayo)
0 Reactions
4 Replies
428 Views
Jipatie Smart watch Original leo 1. Smart watch na earpods - unapata smart watch, earpods na mikanda yake saba yenye rangi tofauti tofauti kwa 55,000 tsh th 2. Smart watch mbili na mikanda yake...
2 Reactions
5 Replies
847 Views
Jinsi Kuandaa Mkataba Wa Malipo Ya Awamu Ya Kiwanja (Land Installment Contract) Maana Ya Land Installment Contract Land installment contract (kwa Kiswahili, mkataba wa mauzo ya ardhi kwa awamu)...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam, Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu) Mwenye nalo njoo DM. =65&hash=735915e41f15bfcf354a0b66ea806df8']Attach files
2 Reactions
0 Replies
322 Views
Naombeni sapoti yenu. Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub. Asanteni Pia karibuni sana.
35 Reactions
452 Replies
12K Views
Back
Top Bottom