Nauza vitabu vifuatavyo vya kidato cha kwanza: The Real English( Kadeghe Michael), Geography Course Book for Secondary schools Book One( Tanzania Institute of Education), Kiswahili - Shule za...
Salaam wadau...ninatafuta Mfanyakazi wa Shamba la Mifugo.Lamsingi awe na elimu ya Mifugo hata certificate pia na uzoefu hasa wa kuku na magonjwa yao na Nguruwe pia.Ntashukuru kama kuna mtu anajua...
Nyumba inauzwa tabata haijakamilika yote ila imefika kwenye rinter,ina vyumba vitatu,sitting room,dinning,room,choo na bafu vya nje na vya ndani<vyoo vya nje vimekamilika>ina fremu moja...
Tunatoa huduma zifuatazo; - Tuition kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita - kufundisha QT na wanafunzi wanaorudia mitihani - kufundisha wanafunzi wanaojiandaa kuingia kidato cha tano...
Plot for sale/kiwanja kinauzwaa
kipo goba wilaya ya kinondoni dar es salaam
kipo karibu kabisa na barabara kuu inayounganisha mbezi ya kmara na mbezi beach
kina ukubwa wa METERS 20*30
bei ni...
Vitu tajwa hapo juu vinapatikana.
Brand ya touchmate na ni vipya kabisa ndani ya box. 0715490570
Pasi ya blue 27,000
Pasi nyekundu (ceramic) 36,000
Deep fryer...
Shamba linauzwa chanika mwanzomgumu lina ukubwa Wa ekari tano,bei ya kila ekari ni Tsh 2,500,000 maelewano pia yapo,na pia gari inafika mpaka shambani 0714621548.
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Mwanza. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa.
Kwa...
Kiwanja kinauzwa kipo Goba Kinzudi kipo katika hali nzuri kinafikika wakati wote ukubwa ni 30m x 35m bei ni M17.
Maongezi yapo wasiliana na 0715210298 kwa anayehitaji.