Kamera ya digital inauzwa

Kamera ya digital inauzwa

okonkwo jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
2,419
Reaction score
1,739
Kamera ya samsung megapixel 16,zoom 10+ inauzwa.

Mwenye kuitaka ajitokeze.NIKO LINDI WILAYA YA LIWALE
 
Haina model, haina bei, hakuna picha..
 
Ipo wapi Lindi? Basi itakua imechoka hiyo mpaka basi.
 
mkuu nimekua mgeni kwenye hii jf hivo sjajua jinsi ya kukufata kwa pm nakuomba unifuate tinaihitaji
 
mkuu nimekua mgeni kwenye hii jf hivo sjajua jinsi ya kukufata kwa pm nakuomba unifuate tinaihitaji

Ni tsh 280,000/=weka namba nikutafute,tuma namba za smu kwenye in box yangu.
 
Model ipo sema kama nataka

Mkuu okonkwo Jr, kwakua imeshindikana ku-upload pic bas ni vema ukawaka specifcn zote za hiyo kamera hasa model yake ili mtu alieserious anaweza hata ku-google kabla ya kukupigia ili kupunguza usumbufu usio wa lazima
 
Model ya CAMERA NI ST2OOF,Bado iko haijapata wateja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom