Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tools pitia picha chini
1 Reactions
8 Replies
611 Views
Jaman mimi ni bint nimemaliza chuo na ni laboratory technologist proffesional naomba msaada wa connect ya kazi plz jsman nipo Dar es salaam mbezi Magufuli. Pia nina huduma hizi kwa waliopo...
6 Reactions
7 Replies
676 Views
Karibu JSL COURIER kwa huduma bora ya kuhama na kuhamisha vitu kutoka mtaa A kwenda mtaa B na kutoka mkoa A kwenda mkoa B. Huduma zetu ni nzuri, nafuu na uaminifu ni mkubwa mno. Usisumbuke tena...
2 Reactions
100 Replies
4K Views
Habari za weekend; Kwa wali wanaosalia najua mmewahi kumuomba Mungu awapatie Mkate wenu wa Kila siku. Leo nataka tuzungumzie kuhusu TENDER au kwa Kiswahili TENDA.Tenda huwa zinakuja kwa lugha...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Nyumba inauzwa madale mivumoni karibu na kaseke primary school Ina eneo la ukubwa wa 487 square meters Ina vyumba 3 master na choo cha public na jiko Inatank la maji la lita 3000 Bei ni 170M...
0 Reactions
11 Replies
859 Views
Ushauri kwa wafugaji wenzangu mliopo humu Kuna App ya ufugaji itakusaidia mambo kadhaa. Itakusaidia katika ufugaji wako. 1. kuandaa fomula za vyakula vya kuku kwa kiasi utakacho na kuku wa umri...
2 Reactions
0 Replies
821 Views
Tunatafuta matairi yaliyotumika ya mabasi makubwa na Scania. 💸 Tunatoa TZS 3,000 kwa kila tairi moja! ✅ Kiasi kinachohitajika: Tunapokea matairi kuanzia 50 au zaidi. 📍 Eneo: Upo Dar es Salaam...
0 Reactions
3 Replies
482 Views
Karibu Nipigie hapa kama unahitaji 0775823513 Bei ni 650k fixed. Inapatipatikna Mbezi Beach- karibu na shule ya JK NYERERE. IMEUZWA TAYARI
1 Reactions
8 Replies
734 Views
Hello guys Mm ni muhitimu wa chuo nikaona kukaa tu sio poa niko Dar hapa kuna vyuo vingi natafuta mdada ambae yuko tayali tuanze kupita vyuoni kutafuta wateja na kuuza nguo kwenye hostels tunaenda...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari wakuu, Natafuta soko la uhakika la mayai ya kienyeji pure kwa dodoma jiji. Ninauza tray 17,000. Pure kienyeji. Karibuni sana. Ninapatikana Dodoma Mjini.
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari, naamini uko salama. Mimi ni agent natoa magari madogo na makubwa, container, loose cargo katika bandari ya Dar es Salaam. Pia nauza magari used na chassis pamoja na container za 20 feet...
1 Reactions
6 Replies
998 Views
Liwe sio mbali na Bagamoyo mjini kwasababu litajengwa hospital. Lenye hati litapewa kipaumbele
4 Reactions
7 Replies
551 Views
1 Reactions
5 Replies
676 Views
-Ukubwa wa kiwanja ni SQM 1045 - kiwanja ni Tambalale -umbali kutoka Fery ni KM 21 umbali kutoka baharini ni km 3 na kutoka Main Road ni km 3 kiwanja kipo Mtaa wa Shirikisho Document - serikali...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu, Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa sita. Natafuta Nyumba ya kupanga 2 Bedrooms ikiwa master room ni vyema zaidi...
1 Reactions
23 Replies
18K Views
Zipo aina kadhaa za kutengeneza CHAKI kulingana na uwezo wa mtu binafsi. Kwa kijana mjasiriamali unaweza kuanza na mashine ndogo na baadae ukishakuza mtaji unaweza kutafuta mashine kubwa zaidi...
2 Reactions
4 Replies
8K Views
Heavy Duty Scale Balance 1. 80 Tonnes (Used) - Tsh 76.3M 2. 60 Tonnes (New) - Tsh 81.75M Karibu
0 Reactions
4 Replies
451 Views
Habari wana JamiiForums, Kuna kitabu changu ninakiandika, na bado kidogo kukimalizia. Nataka kujua ni utaratibu gani niufuate ili niweze kukiingiza sokoni na pia nahitaji kujua gharama za...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF za kazi? Naomba msaada wenu kuna Idhaa ngapi za kimataifa za Kiswahili duniani. Naomba mnisaidie kuzitaja na nchi zilipo. nafanya utafiti. Na kwa walioko katika Funga nawatakia Saum Maqbull
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habarini, wapendwa nilipata shida kidogo nilikuwa nataka kujua wapi naweza uza pete ya Tanzanite kwa Dar es salaam?
1 Reactions
3 Replies
521 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…