Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

• Direction: Kisutu • Document: hati • Price: TZS milioni 200 . ✓ ni ghorofa ya 4 ✓ ina lift ✓ inauzwa bila samani (unfurnished) ✓ vyumba master 1 & kawaida 2; public washroom; sebule; jiko lenye...
0 Reactions
4 Replies
526 Views
ENEO LINAUZWA MILIONI 7 LENYE UKUBWA WA (8×12) LINAPATIKANA TABATA CHANGOMBE (KWA DKT KUNDY) DOCUMENT ZOTE ZIPO 0687103112
1 Reactions
12 Replies
827 Views
Mwenye nayo ikiwa 500L itapendeza HP ianzie 10. Location Dar.Iwe na hali nzuri Offer from 5mil.
0 Reactions
4 Replies
459 Views
Shalom, Hope mko poa asee.. makomando na wauza bucha kuna wembe hapa mkali sana kwa ajili ya kazi maalum Ak47 CcCp mpyaaaa 💥🔥🔥 Shiling 20000 tu, free delivery Niko mbagala hapa. Kokote nakuletea
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari Mota ya kuzungusha machine ya kusaga mahindi inauzwa. Mota hii ipo kibaha mkpa wa pwani. Ina Hz 50. Bei sh 1..8m. Anayehitaji karibu. 0758308193
0 Reactions
2 Replies
478 Views
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5. Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
290 Views
Habari wakuu,natafuta chimbo la spare za umeme wa magari kama vile taa,control box ,relays na vingine vinavyohusika na umeme wa magari liwe na bei nafuu ya jumla kwaajili ya kupeleka mikoani hasa...
1 Reactions
3 Replies
616 Views
Kimara hadi mbezi 50,000 Mwenye anafahamu naomba uni pm
1 Reactions
4 Replies
248 Views
nauza sabufa ni mpya kabisa bei ni Tsh130000/= napatikana kariako mtaa wa msimbazi b mkabala na jengo la simba mawasiliano 0655226738 au 0617243351
0 Reactions
3 Replies
330 Views
Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi...
1 Reactions
1 Replies
469 Views
shamba Liko mvuha morogoro ni eka 49 kila eka laki 5 na nusu ila maongezi yapo wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar nasaka 4, kushoto matombo mkuyuni...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Eneo lipo Mwasonga Kigamboni lina ukubwa wa heka 14 ila zinazouzwa ni heka 6 tu bei ni 6M kwa heka moja. Mawasiliano 0784427363.
1 Reactions
4 Replies
571 Views
Chagua hapo njoo inbox mapema tuu Wale WA dar nakuletea Hadi nyumbani kwako Karibuni sana
1 Reactions
2 Replies
483 Views
Habari zenu Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
150k chagua yyte call me 0718909429
4 Reactions
11 Replies
965 Views
Habari wanaJf karibu ujipatie Simu za Samsung j7 prime kutoka china Kwa bei poa kabisa. -Bei ya jumla 130,000 -Bei ya lejaleja140,000 Napatikana Mwanza Pasiansi Mawasiliano namba 0672883431...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Nahitaji yai ya kisasa kutoka shambani nipo Dar.
0 Reactions
1 Replies
427 Views
Kuna jirani yangu anamiliki Toyota Hilux pick up single cabin 1998+ nazan, nmetokea kuipenda sana nna 10m isiyo na maelezo, kama Kuna mdau anayo tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
577 Views
ango wa Aluminum upo banana piga 0743257669 nauza elf 50
2 Reactions
21 Replies
990 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…