Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta ford trucks za miaka ya nyuma iwe inatembea au imepaki chamsingi bodi iwe nzima. Nicheki dm tufanye biashara.
3 Reactions
6 Replies
681 Views
Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani). Miongoni mwa huduma zetu ni hizi 1) Free WiFi 2) Vinywaji vya kila aina 3) Music 4) Shisha nk Pia tuna karioke kila siku ya...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Natafuta Laptop 1. Apple MacBook Pro (16-inch,M1 Pro/M1 Max) 2. Dell XPS 17(9710) aliyeko na mzigo wa uhakika siyo Hizi refurbished tuwasiliane PM
0 Reactions
2 Replies
417 Views
BEI YA DESIGN TSH 50,000/= (UTAPATA NA OFFER YA REALISTIC MOCKUP YA BIDHAA YAKO) BEI YA KUPRINT STICKER TSH 600/= A4 SIZE HUDUMA ZETU UTAZIPATA MAHALI POPOTE ULIPO! FREE DELIVERY NDANI YA DAR...
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Habari Wapambanaji wote. Naitwa Derick Mtimba ni afisa mauzo wa Shacman Tanzania. Ninayo furaha kuwajulisha kuwa kampuni yetu inatoa aina mbalimbali za magari ya mizigo na ujenzi, yakiwemo...
1 Reactions
3 Replies
27K Views
• Direction: Ungoni Street • Price: USD 120,000 • Terms: 50% Upfront; the rest within 3 years • VAT & Transfer not inclusive in price • Monthly Service charge: TZS 180,000 . ✓ new built (not used...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
• Direction: Wazo Hill, 1 km off Madale Road • Facilities: 4 bedrooms, 3 washrooms • Plot Area: 1069 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 180 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ vyumba...
3 Reactions
4 Replies
581 Views
Habari za weekend, Wakuu. Husika na mada tajwa hapo juu, Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake, Ninauza iyo machine ya kukamulia Juice ya MIWA, ipo Tanga kwa Bei ya 850K, Ipo katika hali nzuri...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wapendwa! Kuna jamaa yangu ana uhitaji kibiashara hana mtaji wa hela ila anataka gari aina ya Alphard no E iliyo katika hali nzuri kwa ajili ya wazo lake kibiashara. YEYE: Kiwanja 30 kwa...
3 Reactions
12 Replies
20K Views
Wakuu . Natumaini mko poa! Hivi kwa maeneo ya pembeni ya mji Moshi au Arusha nikitaka kiwanja kinachofaa kujenga nyumba ya kawaida tu eneo dogo labda vyumba vitatu basi Niandae kianzio kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii maada sio sahihi hata kidogo. Poleni kwa usumbufu
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Anna Kashindye, mwanamitindo maarufu, akiongoza wageni kupita katika banda la Kampuni ya Coca-Cola kwenye Tamasha la Chakula lililofanyika The Green Park Oysterbay, Dar es Salaam, mwishoni mwa...
1 Reactions
2 Replies
475 Views
Kama kuna dogo yoyote ambaye ni mhitimu wa fani ya Usanifu majengo.... Mwenye uwezo wa kufanya 2D na 3D render, Amemaliza kuanzia mwaka 2020 Anicheki inbox chap chap
1 Reactions
1 Replies
476 Views
• Direction: Bunju B, 800 meters from Bunju B Daladala Stop (Bagamoyo Road) • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 500 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 120 million • Viewing...
1 Reactions
2 Replies
454 Views
Hapa ntakuwa napost viwanja na Nyumba zinazouzwa pamoja na Nyumba zinazohitaji wapangaji. Karibuni. ENEO NI ZURI KWA APARTMENT AU MAKAZI BINAFSI LIPO SINZA A KARIBU NA APARTMENT ZA DELINA NA...
2 Reactions
1 Replies
530 Views
Jipatie simulizi za kijasusi Ambola Mwamba The last chapter Scandal The football Peniela Queen monika Miss tanzania Capture or mission Kiapo cha jasusi Kikosi cha siri Dear mathew mulumbi BY...
5 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari, Tanga kunani palee Wanajf natafuta chumba cha kupanga tanga maeneo ya kisosora au chumbageni au maeneo karibu na hayo. Chumba kiwe na choo ndani Bajeti yangu 70k kushuka chini.
2 Reactions
5 Replies
843 Views
Habari nimekuletea mfumo wa maauzo "POS" ulio bora na unaotatua changamoto za moja kwa moja kwa waendeshaji na watoa huduma wa bidhaa kwa uhalisia kama zifuatvyo; (i)Umeme ukikatika ghafla hauna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Fenicha zimepatikana
1 Reactions
6 Replies
516 Views
Tunatoa huduma za ujenzi.. 1. Ramani za nyumba 2. Usimamizi wa ujenzi 3. Mabango ya ujenzi kwa wanaojenga magorofa 4. Ukadiliaji wa gharama za ujenzi Tucheki kupitia namba 0687732666 / 0712006246
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Back
Top Bottom