Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jamani tupeane uzoefu. Mara nyingi natumia Instagram na YouTube kutangaza biashara yangu, lakini nataka kuongeza njia mpya za kufanya matangazo. Nimejaribu kuwasiliana na TikTokers kadhaa wa...
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Ni disk zinazotengeneza pellet kwa ajili ya mifugo,hizi zilikuja na mashine matundu yake ni ya aina moja sasa nataka zenye matundu madogo zaidi
2 Reactions
17 Replies
956 Views
Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki...
0 Reactions
3 Replies
474 Views
Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) au Sinza Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS...
1 Reactions
0 Replies
361 Views
Inakaa masaa 8 ukiichaji full. Haijatumika sanaa maana muda wote router inatumika kwenye umeme.. Mara chache umeme ulipokatika ndio ilitumika. bei 20,000 0711707070
1 Reactions
5 Replies
831 Views
Mambo vp wakuu. Nnatafuta Body ya aluminium ya Mende( Scania kipisi). Ambayo ipo kwenye hali nzur. Npo Dar esa salaam. 0693296809
0 Reactions
2 Replies
371 Views
SIMU NI MPYAAAAAAAAA Google Pixel 9 PRO XL RAM 16GB ROM 256GB Camera 50MP BATTERY 5060mh TSH.3,650,000/= Call/WhatsApp 0749417334 UBUNGO DARAJANI SIMU NI MPYAaa
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari nauza mabanda hayo yako mawili ya kufugia yameisha kabisa na bado kuna kiwanja kimebaki kikubwa tu pembeni eneo lipo chanika mvuti mwisho sio mbali na barabara kabisa bei ni million6 kwa...
0 Reactions
6 Replies
651 Views
Habari wakuu! Nahitaji kupata jenereta nzuri ya 25kVA – mpya au used. Kama kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata na bei zake zinavyorange, tafadhali naomba ushauri wenu. Asante!
0 Reactions
2 Replies
638 Views
Plot ipo barabaran kabisa Ina hati ya kisasa Plot imejengwa nyumba za kisasa za kupangishwa ikiwemo fremu saba za biashara. Huduma zote za kijamii zipo ikiwemo maji na umeme Plot ina ukubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Nauza betri used zlizotumika kwenye minara ya simu Ni betri imara ikijaa mpk ije iishiwe moto sjui uwe na matumiz gani Zipo zenye uwezo wa kuanzia 100ah/N mpk 150ah/N Bei za 100ah/N ni 185000...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nahitaji kunde ,maharage, choroko na njungumawe kwa bei ya jumla. Mimi nipo Dar, Mabibo.
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari wandugu . Nahitaji kontena la futi 40. Lenye hali nzuri ....nipo moshi mjini.-kilimanjaro Kama unalo wasiliana nami.....0672701329 Asante.
1 Reactions
3 Replies
371 Views
Habari wadau. Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake. Kwa kitanda peke yake bei 130,000 Godoro bei 80,000 Meza bei 50,000 Namba ya simu 0754 003 715
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Toyota anatumia gearbox za aina tatu. 1. A type, ambazo zimefungwa kwenye SUV nyingi kubwa za Toyota. Mfano A343F iliyofungwa kwenye Toyota prado TX 1997. 2. U type, ambazo zimefungwa kwenye...
8 Reactions
13 Replies
8K Views
PUNGUZO LA BEI. Tunapenda kukujulisha kuwa katika kufunga mwaka, sasa utapata VFD kwa 250,000 tu. VFD ni mashine ndogo inayokuwezesha kutoa risti halali za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi...
0 Reactions
2 Replies
545 Views
Smart tv Inch 65 brand yoyote offer yangu ni 800k..
1 Reactions
4 Replies
528 Views
Dar es Salaam - Tamasha la Hot Rhythm Music Festival lililofanyika katika Hostel za Mabibo siku ya jumamosi jijini Dar es Salaam, liliwaleta pamoja wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa ajili ya...
1 Reactions
0 Replies
355 Views
Wakuu habari, Natafuta mkulima, wa karanga mbichi, ambae ataniuzia kwa bei ya shambani, ni kuajili ya biashara.. Kama una mzigo, nichek watsAp 0742596431, tufanye biashara. Mimi nipo Dar.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8. = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Back
Top Bottom